Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Msome kwanza kama yeye ni Kunguru au Njiwa kabla hujaamua kumfuga(kumganda).
 
Huyu wa sayari Gani jamani?
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaaaaaaaaaaa!!!!

Sister usinambie, nitapaliwa na chai mwenzio
Eti nauli ya kurudi hana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Lakini sio mimi ni wa coca huyo, mimi nilikua nakazia km shemeji tu

Sasa na sisi si tutakuwa km Gigy tutakosa nauli za kurudi bongo
 
Yaani coca ndio kajiweka hapo ?hakika ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu!we jifanye tu unamsindikiza huyo udugu wako mtajua hamjui huko ughaibuni!yatawahusu ya Gigy🤣🤣🤣🤣 cocastic mlongo wa Nene,mwe bambo yule umganila ki?ailepe na kindu yola.....Usije sema sikukwambia
 

Ndio ninachokupendea dada mkubwa huna kona kona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Udugu cocastic njoo uchukue file la shem wa USA kutoka kwa dada, usije kujichanganya etiii

Kwakweli ngoja nikitulize na passport niirudishe nisubiri baby wangu Kantri anipeleke Dubai holiday au Sanya juu nikalishe majani twiga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Asante sana kwa ujumbe huu kwa wenzetu hawa!
Kuna mtu natamani angesoma uzi huu ila hana interest na mitandao.
 
Kuna muda naona kama ndoa ya kikristo ni utumwa mwingine ambao umehalalishwa.
 
Well said Demi,
No wonder ndoa nyingi za siku hizi ni migogoro mitupu hayo mambo ya kumganda mtu hata hakupendi unaolewa nae hisia na moyo wake kaacha kwingine,kifuatacho hapo ni dharau,vipigo,kudhalilishwa na kila aina ya tafran.
HIvi unamgandaje mtu asiyetaka, woi hiyo inipite
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemajee huyo baba ana helaa balaa, anaweza kuinunua JF yote pamoja na mello na moderators wake.
 
Mlongo nileka na lidoda langu leniliii, lina hela, koto kumkinilaa wengaaa, au ve ugani lepa tuhamba kwe ku marekano??uwaya kukwela mndege?? Apu hinu pe paunijovili niyeliwi he.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…