Mdada Mwenye Uwezo wa Ajabu

Huyu akifanya movie, OLIVER QUEEN (ARROW) atasubiri sana
 
Kuna jamaa yuko pale kivukoni huwa anajikunja ndani ya vivuko sema support tu, ni balaa huyo dogo
 
You must be kidding. SHIEKA huyu huyu?

Hata wewe pia waweza!

mimi nimejifunza Basketball nikiwa na 19yrs na nikaumudu vizuri mchezo.. volleyball nimejifunza at 21 na pia nikaumudu vizuri...

Nimegoma tu ucheza football kwa kuhofia kuvunjika miguu! teh..
 
Netball yatosha michezo mingne tutavunjana viuno
 
Yap, lakini huwezi kumfikia aliyepewa kipaji.

Thats what i am talking about!

Huyu hakuwa na kipaji halisi, bali cha mafunzo tu!

Huwezi jua labda alitakiwa mwanariadha!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…