Ni kweli WAHEED SUDAY.Lakini inatakiwa mazoezi uyaanze ukiwa na umri mdogoHapo ni mazoezi tu hata wewe unaweza
Noma sana
Hapo akayumba kidogo huo mshale hajauvulumishia kwa watazamaji?
Mkuu miaka 15 viungo bado laini sana anaweza hata miaka 18 unaweza but if you are committed to do soNi kweli WAHEED SUDAY.Lakini inatakiwa mazoezi uyaanze ukiwa na umri mdogo
kati ya miaka 3 na 5. Ukianza ukubwani yaani ukiwa na miaka zaidi ya 15 hutomudu!