MDADA KWA AJILI YA SERIOUS RELATIONSHIP (NDOA)

MDADA KWA AJILI YA SERIOUS RELATIONSHIP (NDOA)

Nimekaa mikoa tofautitofauti nchi hii, makabila mengi wanawake wanapigwa sana tu, tena kibaya zaidi hata akienda kushtaki kwa ndugu zake mwanaume hata hawafuatilii
The fact ni kwamba, kama mwanaume ana mkono wa kukupiga au uwezo kukupa wakati mgumu, haijalishi atakuwa ni wa kabila gani..

mfano:

1.SOUTH AFRICA: mamphista aliyempiga baby wodumo ni mkuryaaa??!

2.USA: Jonny depp aliyempiga amber heard ni mkurya??!

3.UK/USA: stephen belafonte aliyempiga mel b ni mkurya??!

ETC....

Tukianza kuchambua wenzi kutokana na makabila yao hakuna atakaye baki salama...ndiyo naelewa kuna negativities mbali mbali ambazo zimeacha marks katika makabila yetu, lakini haimanishi sio kila mtu anabeba hizo negativities zote.

Muda mwingine unakuta tu kabinti kameona hauna pesa za kutosha, hauna uwezo anao utaka yeye au kigezo kingine anachotaka yeye...anaamua kuja na kisingizio cha kabila.

"IT IS BETTER TO RISK SAVING A GUILTY MAN THAN CONDEMN AN INNOCENT ONE."

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom