Starwars91
Member
- Jul 12, 2020
- 52
- 47
Mimi naamini hivi.....Ushampoteza direction mdada wa watu
Alafu unakuta mileage inasoma 26 kilometers daadeq
Kamdhalilisha mdada wa watu na kumpotezea muda wake kisha anataka kumdump kirahisi namna hiyo! tena huyo mdada anatakiwa amtoe busha jamaa ili ajue kua kuchezea hisia za mtu ni jambo la hatari sana.Hii dunia haiishi vituko ati kakuganda? Kwa lipi la maana ulokuwa nalo? Ni mwanamke gani wa kujidhalilisha hivyo? Kwani ni kilema kusema hawezi kufanya kazi akaishi mwenyewe.
Ulivyojipa sifa ukute unamiliki laptop na smartphone + kuishi chumba kimoja cha 30000