Uzuri kwa 40% manake halipi sana kwa hiyo lazima akomae na anayemkaribia.Huyo dada aachane na huyo jambazi, asitafute sababu mfu kujipa moyo. Je na huyo jambazi akimuacha itakuwaje? Kuhusu kumtambulisha hilo siyo tatizo kwani akiwaambia mchumba wake ni jambazi sidhani kama hawatamuelewa.
Uzuri wa mwanamke upo machoni pa mtazamaji, na kwa nini awe anaachika kila mara pamoja na huo uzuri uliousema?
@arusha,baba mngoni ,mama mchagga.
kagundua kuwa bf wake ni jambazi, baada ya kuiona bastola yake akamuuliza kwa upole bf akakubali ila akamuahidi anaitaji matukio matatu tu ila aachane na ujambazi.Anadai anataka mtaji wa kufungua duka la kuuza pikipiki za mchina hapa Arusha .Akadai strictly hajawai kuuwa na yuko makini hawezi kunaswa na akinaswa ana uhakika wa kutolewa.
Mdada kashampenda sana jamaa na anadai amewahi kuwa na mahusiano na wanne wote walimuacha ndani ya miezi isozidi sita ila huyu ndiye aliyedumu naye mwaka na nusu na mkaka kashamtambulisha kwao,mawifi zake (to be) wanampenda sana na always humwambia tunashukuru as now days kaka yetu yuko fucused anaijali familia, mipombe kapunguza, anaiheshimu kazi yake (tour guide),
Confidential: Mdada mwenyewe analipa (uzuri) kwa 40% na umri umesogea na jamaa yuko presentable 70%
mwanzoni hakujua ila alipoifuma bastola yake anahisi na alipomuuliza jamaa akakiri.Hivi wanaume wameisha mtaani hadi aparamie jambazi?
this is the true life someone is excellingStory nzuri sana hii.
mwanzoni hakujua ila alipoifuma bastola yake anahisi na alipomuuliza jamaa akakiri.
ujue mdada ndio hivyoo keshapenda na to be honest figure ya huyu mdada haimpii uhakika wa kumpata mwanaume karibuni incase akiachana na huyu
this is the life br!samaki mkubwa anameza mdogo.Hakuna tajiri ambaye hana criminal conduct in his life time.hapo kwenye bold
asipofanikiwa ataongeza matukio mengine mangapi
hapa Arusha hawa polisi wana intellegensia ya kumwona LEMA tu.Kijana tunaomba ushikiano na jeshi la polisi!
mwanzoni hakujua ila alipoifuma bastola yake anahisi na alipomuuliza jamaa akakiri.
ujue mdada ndio hivyoo keshapenda na to be honest figure ya huyu mdada haimpii uhakika wa kumpata mwanaume karibuni incase akiachana na huyu
ujambazi na mapenzi hauchanganyiki so jambazi naye anaweza kutoa penzi maridhawa la kumchanganya msichana yeyoteWait a minute ,,,,, yani sis hatuna haki ya kupendwa/penda?
No at alltooba. Kama hawezi kumwacha ajifunze bastola!