Mdada huyu anatafutwa

Mdada huyu anatafutwa

Mmmmh mi nimerithi sura ya baba shepu ya mjomba na mjini nimekuja novemba mwaka jana wacha nipite vilee
 
Mie nimezaliwa mjini Dar na u super star pia nnao lakini je una Hela wewe?
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1425586837.735882.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1425586837.735882.jpg
    83.2 KB · Views: 249
Natafuta mdada "smart" tupeane mchongo.

Sifa:

1. Lazima uwe mrembo

2. Usiwe umekuja mjini karibuni, sitaki mambo ya kushangaashangaa na kuniulizauliza hata vitu virahisi

Lini? This weekend.
miss chagga, lara 1 na Evelyn Salt, hao hapana.

kwani masogange mmegomana nini? au siku hizi kete hanyi zote nyingine zinastick kwenye low intestine?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom