Mdada huyu anatafutwa

Mdada huyu anatafutwa

Hayaaaa wale wapenda pesa dili hiloooooooo,
 
Hapa anatafutwa punda
Haya ngoja tusubiri tutasikia tu
 
Hahaaaaa
Uwiiii nimecheka
Eti 'staki kushangaa shangaa'
Khaaa
 
Haya wadada walojaaliwa neema za Allah mjitokeze!!!! Hatari sana!!!
 
Natafuta mdada "smart"
tupeane mchongo.

Sifa:

1. Lazima uwe mrembo

2. Usiwe umekuja mjini karibuni, sitaki mambo ya kushangaashangaa na
kuniulizauliza hata vitu virahisi

Lini? This weekend.
miss chagga, lara 1
na Evelyn Salt, hao hapana.

and make sureeeee your "smart toooo" usije nitia aibu nikakimbia ahaaaaaa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom