Mdada huyu ananisumbua

Mdada huyu ananisumbua

Mpaka umechukua hatua ya kwenda kumuona mkaonana sasaivi ndio unasema, nna imani wewe ni mwanamme tena wakisawasawa, sasa Kama mwanamme kweli basi Hilo jambo dogo sana manake hata Kama jambo hulitaki kweli sidhani Kama unaweza kumpa nafasi mtu akakusumbua.....
 
Kama kasoma hii thread he he he pichu inambana!!!!!!!!!!
 
Wewe uko kwenye ndoa na unatakiwa kuheshimu ndoa yako sasa kama yeye yuko humu Jf na hataki kuacha huo mchezo wake just weka ID yake hapa then atasutwa humu hadi atabadili ID
 
Ni kinyume na sheria za JF to disclose PM conversations anyhow...once you choose to PM somebody, inabaki kuwa private business.
....So broda, umbug meeeen.....
 
Kama kasoma hii thread he he he pichu inambana!!!!!!!!!!
Muongo tu huyu anataka kuwadhalilisha dada zetu humu JF siamini hicho kitu hata kidogo
Mtu yoyote anayeingia humu ni mstaarabu, na muelewa kwani kusurf humu ni gharama licha ya kupoteza muda na kuna vitu vingi vya kuelimisha, sasa mdada wa watu hajakutana na watu mpaka ndani ya JF
Haya mambo yapo Facebook sio JF
 
Huenda anatafuta uspoon tu hapa!!!!
 
Tumeshajua ww ni mwanaume unaeweza kugandwa na wadada, haya advertisement at work, kazi kwenu wadada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom