Habari zenu, kuna mdada nilifahamiana nae wakti npo kidato cha 5(kwenye kutembeleana kishule) na tumekuwa marafiki mpk leo. Mm kwa ss niko mwaka wa 3 bt pia nafanya kazi. Hyu dada wiki jana kanambia ana tatizo babake kadhurumiwa pesa na wafanyabiashara wenzake so yupo hoi kwa bed presha juu na hana pesa kwa sasa.dad akasema hana ada ya ya chuo na hana means ya kupata ela,ndugu wanamuahd bt amna chochte akaomba nimsaidie,coz ni rafiki yangu nikamtumia kias flan alipe c mwajua inalipwa kwa installments. Sasa dada anasema amegundua nna upendo sn na anaomba tuwe wapenzi. Cjajua nifanye nn waungwana naombeni ushauri!!
Kwanza ningekuuliza una rafiki wa kike ambaye ni mpenzi wako? Kama unaona ni wa kawaida basi usijiingize katika penzi na huyo mtoto wa kike bila ya shaka utakuja muumiza siku zijazo. Nakushauri endelea kumsaidia bila kijihusisha na penzi la huyo mdada.Cjampenda kimapenzi,namchukulia kawaida 2
ni vema umwambie kwa upole humpendi na unamchukulia kama dada yako. ILA yeye kakupenda na akakutongoza kama vile nyie mnavyompenda binti na kumtongoza.Cjampenda kimapenzi,namchukulia kawaida 2
kama umeitoa kwa upendo na bila masharti ya kutarajia chochote...basi umishapenda..jipe muda ujiridhishe kuwa maamuzi utakayofanya yatakuwa sahihi..!:twitch:Habari zenu, kuna mdada nilifahamiana nae wakti npo kidato cha 5(kwenye kutembeleana kishule) na tumekuwa marafiki mpk leo. Mm kwa ss niko mwaka wa 3 bt pia nafanya kazi. Hyu dada wiki jana kanambia ana tatizo babake kadhurumiwa pesa na wafanyabiashara wenzake so yupo hoi kwa bed presha juu na hana pesa kwa sasa.dad akasema hana ada ya ya chuo na hana means ya kupata ela,ndugu wanamuahd bt amna chochte akaomba nimsaidie,coz ni rafiki yangu nikamtumia kias flan alipe c mwajua inalipwa kwa installments. Sasa dada anasema amegundua nna upendo sn na anaomba tuwe wapenzi. Cjajua nifanye nn waungwana naombeni ushauri!!
Hahaha leo naamka kwa kucheka...
Nimekugongea kakague!
Huyu anataka kulipa fadhila sasa mwonyeshe wewe ni mtu usietaka kulipwa fadhila kwa njia hiyo kama ana mapenzi ya kweli hapo ndio utajuwa.
I am talking from experience na katika hili kina mama mnisamehe bure tu,ukweli ni kwamba mwanamke akikuomba mkopo ukampa we jua hiyo ni sadaka tu umetoa maana kwa kawaida huwa hawatulipi.