mdada ananiomba tudate baada ya kumsaidia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mdada ananiomba tudate baada ya kumsaidia

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rogie, Feb 9, 2011.

 1. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,271
  Likes Received: 3,004
  Trophy Points: 280
  Habari zenu, kuna mdada nilifahamiana nae wakti npo kidato cha 5(kwenye kutembeleana kishule) na tumekuwa marafiki mpk leo. Mm kwa ss niko mwaka wa 3 bt pia nafanya kazi. Hyu dada wiki jana kanambia ana tatizo babake kadhurumiwa pesa na wafanyabiashara wenzake so yupo hoi kwa bed presha juu na hana pesa kwa sasa.dad akasema hana ada ya ya chuo na hana means ya kupata ela,ndugu wanamuahd bt amna chochte akaomba nimsaidie,coz ni rafiki yangu nikamtumia kias flan alipe c mwajua inalipwa kwa installments. Sasa dada anasema amegundua nna upendo sn na anaomba tuwe wapenzi. Cjajua nifanye nn waungwana naombeni ushauri!!
   
 2. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wewe mtu mzima na uamuzi unao mwenyewe.... kama anakufaa chukua kama vipi piga chini endelea na maisha.... 'Life is all about decisions and sometimes very hard decisions'
   
 3. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mnh hujajua kama na wewe umempenda au la???hapo sijui tutakushaurije sasa...:twitch:
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  we ***** sana......

  watu mnalalamika eti kwa nini wasichana hawawatongozi....
  mkitongozwa mnasema eti sijui nifanye nini?
   
 5. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Forget about dating brother! Kumsaidia mtu hakuendani na kuelekea kufanya mambo ya ajabu.
  Just tell her kuwa wakati wowote akiwa na shida utamsaidia, pia ku-date siyo namna ya ku-pay back.
  Labda kama unampenda,.............!!!!
   
 6. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Duh busara inanituma kuwa huyo mdada anaona njia pekee ya kulipa fadhila ni kwa kukuruhusu ule kichwa!!!!!!!!!. Kama ww humpendi huna sababu ya kula kichwa ila kama nawe umeoza kiana basi jiongezee. Mwambie nami nimejitolea kumchangia Semister ijayo!!!!!!!! :twitch:
   
 7. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Kiuwkeli hata me nimepata wakati mgumu sana pindi ndugu zetu hususani wadada/wamama kila wanapoomba msaada wengi wao, sio wote huishia kuonyesha dalili za kutaka kunilipa kingono. Mara nyingi nimekuwa najiuliza yyyyyyyyyyyyy aka kwanini?:A S 20:
   
 8. a

  aljahadhmi New Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  oh. So sory. Think wel kutokana na mazingra yako.
   
 9. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Huyu anataka kulipa fadhila sasa mwonyeshe wewe ni mtu usietaka kulipwa fadhila kwa njia hiyo kama ana mapenzi ya kweli hapo ndio utajuwa.
   
 10. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,784
  Likes Received: 1,970
  Trophy Points: 280
  mila na desturi ndio zimetukuza hivi
   
 11. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  we unamuonaje kwanza anakufaa au laah! maana mwamuzi wa mwisho ni wewe hata tukikupa ushauri
   
 12. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,738
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Hujajua ufanye nini?
  Kwani HALIPI?
  Au wewe mlokole?
  Kama wewe ni mlokole, congratulations and keep it up.
   
 13. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Inaonekana anakupenda, kwa sababu anaamini ukiwa nae utamsaidia kulipa hizo installments zilizobakia..
   
 14. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mijitu mingine bwana..............ndo kitu cha kuomba ushauri hco hebu piga kazi ngeke wewe
   
 15. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Yaani anataka kukulipa fadhila kwa kuwa umemsaidia? kuwa makini sana kaka huwezi jua asije akawa amekupendea kwamba wewe ni mtoa msaada tu, jifikirie ukija muoa akakuomba msaada halafu ukamnyima hatakuona hufai tena? kama unampenda mchunguze subiri akuombe msaada mwingine then mwambie huna uone kama atakuwa the same
   
 16. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  tehe penye miti hakuna wajenzi khaaaaaaaaaaaaaaaaa kula kitumbua hichooo
   
 17. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa vp upo ndani y penalt box hlf unauliza ufanye nini!! .....au we beki?
   
 18. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ha haaa haaaa haaaaaaaaaa haaaa......................mkuu umenchekesha sana
   
 19. kinja

  kinja Senior Member

  #19
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Inaelekea manfahamiana vizuri sana, kama huna mungine basi that might be your destiny.
   
 20. LD

  LD JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Daaaa msamehe basi kama kakosea kukuambia hivo.
  Lakini ukweli juu ya hili unaujua mwenyewe, kama moyo wako haukubaliani na matakwa yake basi mwambie ukweli na kama una weza kuendelea kumsaidia usiache. UTABARIKIWA
   
Loading...