Mdada alieko free kesho tufunge ndoa

Tunakopa Bondi tunaweka hati feki ya kiwanja chenye kituo Cha polisi.



Ee Kama ni chipsi yai hii yako imekaushwa vizuri Sana Demi πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanasema isiyokaushwa eti ndo nzuri kwa afya
 
Wanasema isiyokaushwa eti ndo nzuri kwa afya


Hii ilokaushwa inalika chap chap... Na hata iweje haiumi tumbo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kwenda ushanikera...😎


Yan sijawah ona janamume linakaza mbele ya pisi....
We tuigizie hapa akufate PM aseme amekumic anataka umfate Arusha af uuze Radio ndani umfate kweli na kichwa hicho .

πŸ₯΄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…