Demi Leejay49 Evelyn Salt Lamomy Mrs Byesige na Kapeace hap wote wako singleSome timez ilimradi haiumizi hesabu, afya au status yako ... Fanya maamuzi ya kuushtua moyo wako kwa furaha ... utakuja kujishukuru siku unakufa .....
Sababu Kama mwanadamu unahitaji pia Mambo kias flan ya kukufurahisha yakaweka alama / kumbukumbu ya furaha ktk maisha. ....
Anyway mdada alieko free tuoane kesho tafadhari ??? Yan kesho tu .... πππ
Kwani kasema alie single au alie free??
Process za kufikia lengo la ndoa unazijua?Some timez ilimradi haiumizi hesabu, afya au status yako ... Fanya maamuzi ya kuushtua moyo wako kwa furaha ... utakuja kujishukuru siku unakufa .....
Sababu Kama mwanadamu unahitaji pia Mambo kias flan ya kukufurahisha yakaweka alama / kumbukumbu ya furaha ktk maisha. ....
Anyway mdada alieko free tuoane kesho tafadhari ??? Yan kesho tu .... πππ
Aliye single na kama hauko single basi uwe freeKwani kasema alie single au alie free??
Yule uliyemtag sio. Ngoja mumewe ajeKumbe umeshafika
Sijawahi kuwa singleπ
Hiyo Dp ya kwenye Id ni zako hizo au za mtandaoni?
Sawa, nikajua uko singoSijawahi kuwa singleπ
Huna lolote na humtegi mtu hapa.Kwakweli ni za mtandaoni... Zakwangu nikiwekamo jf itavimbiwa π
πΉπΉπΉ Mbona wote uliotutag hatutaki ndoa, sa itakuwaje??
π§Basi akitokea mwenye pesa nitawaitaπΉπΉπΉ Mbona wote uliotutag hatutaki ndoa, sa itakuwaje??
Sisi wote wapambanaji hatuhitaji pesaβ¦ hivi ulishawahi kuona comments zetu hao uliotutag??π§Basi akitokea mwenye pesa nitawaita
πππ haya dada. NimekupataSisi wote wapambanaji hatuhitaji pesaβ¦ hivi ulishawahi kuona comments zetu hao uliotutag??
Hapo kidogo anaweza kukusikiliza labda leejay yeye mpole, ila tuliobaki member wenyewe wanatuanya tulivyo manunda..!! πΉπΉπΉ
Enjoy dude!Hahaha. Sawa ngoja ... Nazama OM Hadi ahsubuhi. Mchezo utakua kwishaaa.. sintakuangusha kiongozi. Thank you for trusting me with their hearts ππ
Nakuwaje singo bro na watoto wote hawa,, tusitegeane budaa
Kwani kasema alie single au alie free??