MD of the Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA) visits Tanzania

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878

SOURCE: Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA)
 
just a lazy thought, Arabs linked with Islam, and Islam linked with Kikwete. Sijui kwa nini alichaguliwa rais mwislamu!
 
just a lazy thought, Arabs linked with Islam, and Islam linked with Kikwete. Sijui kwa nini alichaguliwa rais mwislamu!
Nimekumbushwa niweke logo ya BADEA katika 1st post nimeiweka.

Mama,

Tatizo si dini ya kiongozi wa nchi, tatizo linaweza kuwa mtizamo wake katika masuala ya kitaifa. Nina imani kubwa na mhe rais na naamini kila anachofanya anajaribu kulipeleka taifa katika kukamilisha kile alichotuahidi "Maisha Bora kwa Kila Mtanzania" bila kujali hawa wawekezaji anawapata Vatican ama Iran!
 


All right, lets see how it goes. By the way, they have got a nice logo.
 
Unajua kilichoandikwa maandishi mengine tofauti na BADEA?


OMG, kumbe na hayo mengine ni maandishi! nilidhani ni maua ya kuiremba hiyo logo. Hebu nifahamishe, nini cha ziada kilichoandikwa hapo?
 
Yes BADEA wana uhusiano wa karibu na OIC through Islamic Development Bank
 
Yes BADEA wana uhusiano wa karibu na OIC through Islamic Development Bank
Mkuu mbona mnanishtua?

Anyway, kuna update ya hii habari:


Source: African Press Agency
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…