real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,287
Baraza la habari Tanzania (MCT) limesema mwandishi wa Mwananchi aliyetekwa, Azory Gwanda alikuwa anafuatilia taarifa za mauaji ya chini kwa chini yaliyokuwa yanaendelea Kibiti.
Wanadhani mazingira haya ndio yatakuwa yamepelekea usalama wake kuwa hatarini
Baraza hilo limeeleza walipoenda kumhoji kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani aliwaambia tukio hilo la kupotea kwake ni kweli liliripotiwa, ila kwa kuwa mke wake alisema alimuaga anaenda safari na atarudi, huenda ni kweli atarudi japo wanaendelea kufuatilia
Chanzo: Millard Ayo