Mie nilikuwa nakula barabarani hapohapo. Sada kuna siku jamaa akawa hayupo aisee nilihangaika kumtafuta dah nikarudi home sina raha. Nashukuru MUngu baadae nikaanza kupenda ubuyu nikaachana na mambo ya pweza.Yes mkuu, alikua anakula hatareeeee! Kila siku lazima abebe hotpot na tumbo lake jioni jioni huyooooo road, akirudi anakula na mkate.
we nipe risit hile %18 nailipa mm hila bei kwa bos naipandilia mara tatu.Ila sitoi risiti
Supu ya pweza inawafaa wanaume wa Dar
Hahahaaaa ukiongeza na bapa unaweza pata kesi ya mauajiNa bapa moja tu
ina kazi gani hyo thupu...mzee mwenzangu
Ila sitoi risiti
mzee mwenzangu...ina uhakika...hyo...Backup na booster ya via vya uzazi
mzee mwenzangu...ina uhakika...hyo...
vigezo gani hvyo mzee mwenzanguJaribu ila vigezo na masharti uzingatie
Wacha dharau wewe dogo