Mchuzi wa thupu

Hiyo ya dar haina lolote unatakiwa upate kitu chenyewe uone shughuli yake
Dar wahuni babake, wanachanganya na super shaft ya mzungu.
Kuna kitu nilikula Lindi na chapati asubuhi, yani ile natoka tu mgahawani kupanda bus nirudi Dar jongoo kainuka, na hakushuka chini Mpaka nafika Mbagala...
 
Hapana mkuu mie nina mtoto wa kiume. Dah mama salma alikuwa mpenzi wa pweza kama mimi.
Yes mkuu, alikua anakula hatareeeee! Kila siku lazima abebe hotpot na tumbo lake jioni jioni huyooooo road, akirudi anakula na mkate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…