je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,090
- 4,061
Kama heading inavyojieleza hapo Juu Naomba kufahamu madini Aina ya rodolite the way yanavyouzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja.Rhodolite....iko haja ya kuanzisha uzi maalum kwa ajili ya madini ya vito,uchimbaji,uwekezaji,vifaa,masoko na changamoto cc mrangi
Ebu tuwasiliane kwanza unipe muongozo ili Mambo yasiwe mengi.Mbona quality ya chini sana aise
Rhodolite inatakiwa iwe na spirit colour
Size Kuanzia grm 2 kuendeleaaa
Arusha unauza vzr
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawe ya wapi yametokaEbu tuwasiliane kwanza unipe muongozo ili Mambo yasiwe mengi.
Ni kweli kaka.Wewe unajitafutia kesi ya "UHUJUMU UCHUMI au UKWEPAJI KODI" halafu wajanja watembee nayo hayo mawe yako.
Msipende kuweka kwenye mitandao maswala kama hayo ya madini, utajikuta unaingia kwenye kuitwa kuhojiwa vibali ambavyo hata hujawahi kusikia.
Tumeshuhudia wengi wakiingia kwenye matatizo kisa picha.