Mchungwa unaozaa machungwa hadi 4000

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
765
489
Habari kwa wale woote ambao walihitaji miche ya michungwa aina ya galatia nilioieleza katika thread ya hapo nyuma ila kwa bahati mbaya walikosa tunapenda kuwataarifu kua kwa sasa ipo miche ambayo bei yake ni ile ile 5000 kwa kila mche kwa mawasilioano 0712212220.
 
Mavuno yake ni baada ya muda gani,na matunda huwa na ukubwa upi
 
Back
Top Bottom