Mkuu.
Kwa mchango wako huu hapa wewe huna tofauti na hao wachungaji na waislamu wa tukio la Mto wa mbu.
Unataka tuamini kuwa wewe binafsi huna marafiki waislamu, au ndugu zako, jirani zako ambao ni waislamu? Unaishi wapi wewe?
Kama unaishi Tanzania basi ni lazima unaishi kwa kujitenga.
Kama unaishi mtaani basi unawajuwa waislamu na nina uhakika hawajakuadhibu bila sababu. Unasaidiana nao kila siku. Kwa ulivyoieleza dini yao katika mchango wako basi unawakana rafiki zako, jirani zako na pengine ndugu katika familia yako.
Suala la dini mbili kuu Tz ni kitu ambacho kinachukua mkondo ambao kama wewe, mimi na kila mmoja wetu hatutachukua juhudi za makusudi kujizuia kuchochea hisia hizi za kidini nchi yetu itajikuta inaingia pabaya.
Vita si kitu kizuri lakini vita vya kidini ni vibaya zaidi. Sote tuna wajibu wa kuzuia kuitumbukiza nchi yetu katika vita hivyo. Kauli zetu zitolewe kwa tahadhari. Fikiria vita vya kidini Tanzania vitamuacha nani? Nani atasalimika?
Tuchunge ndimi zetu. Na tusemezane,tuambiane sote wakristo na waislamu kuwa kuheshimu dini za wengine ni wajibu wa kila mmoja wetu. Tukishindwa kufanya jambo hili basi na sisi tutakuwa ni sehemu ya watu wanaoridhia kuona udini unatumika kutugawa.
Tatizo ni Uislam kujipa haki zote hapa duniani na kujiweka juu ya imani zingine zote. Uislam unaamini quran ndicho kitabu pekee sahihi, Imani zote ni za kikafiri isipokuwa Uislam, Mungu anawaadhibu watu wote wasio waislam hapa duniani kwa kutumia mikono ya waislam na mwislam akiua kafiri (mtu asiyeamini uislam) hana hatia na akifa wakati wa shambulio anaenda peponi moja kwa moja. Kwa mtazamo huo hakuna namna yoyote unayoweza kumsaidia mwislam anayefuata mafundisho ya dini yake.
Hii ni dini iliyozaliwa na kuenezwa kwa vita na hadi leo ipo kwenye vita isiyoisha dhidi ya dini zingine na itaendelea kufanya hivyo hadi siku ya kiama. Ili kukidhi haja zao za kuua na kudhalilisha dini zingine wanajitafutia visababu vya uongo na ukweli, utasikia eti wamekashifu uislam, wamemtukana mtume, wameidharau quran nk nk. Kinyume chake wao wanafanya watakavyo juu ya imani zingine na hakuna wa kuwakemea.
Cha msingi hapa ni wewe pamoja na familia yako kujilinda kiimani dhidi ya hizi nguvu za giza. Kesheni na kuomba ili msitiwe majaribuni!
Habari za uhakika toka kwa ndugu wa mchugaji John Jackson aliyejeruhiwa ktk vurugu za kidini huko Mto wa Mbu,amefariki leo asubuhi ktk hospitali ya KCMC mjini Moshi. Alipelekwa KCMC wiki iliyopita toka ktk hospitali ya mkoa wa Arusha, Mount Meru Hospital baada ya ndugu zake kuona hali yake inazidi kuwa mbaya. Anatarajiwa kuzikwa kesho huko Same,mkoani Kilimanjaro.
Mihadhara ya Manzese kila siku jioni umewahi kuisikia???
Naomba ninukuu neno hili la Mungu wetu
'....Ili niwaonye kwamba MUISHINDANIE IMANI Walio kabidhiwa watakatifu mara moja Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walio andikiwa tangu zamani hukumu hii, MAKAFIRI, Wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na bwana wetu Yesu Kristo. Yd1;3-4.
Hivyo basi tutaihubiri Injili kwa wakati unaofaa na wakati Usiofaa.
Maana Kuishi ni Kristo kufa ni faida.
AMINA.