Mchungaji wa Vurugu za kidini Mto wa Mbu Amefariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchungaji wa Vurugu za kidini Mto wa Mbu Amefariki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by timbilimu, Mar 3, 2011.

 1. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Habari za uhakika toka kwa ndugu wa mchugaji John Jackson aliyejeruhiwa ktk vurugu za kidini huko Mto wa Mbu,amefariki leo asubuhi ktk hospitali ya KCMC mjini Moshi. Alipelekwa KCMC wiki iliyopita toka ktk hospitali ya mkoa wa Arusha, Mount Meru Hospital baada ya ndugu zake kuona hali yake inazidi kuwa mbaya. Anatarajiwa kuzikwa kesho huko Same,mkoani Kilimanjaro.
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  athari za udini unaopendwa na kushabikiwa na ccm pamoja na asasi zake za ki-intelejensia,.....
   
 3. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  hizo ni athari za uislam, maana ndo walioua!
   
 4. Mwelewa

  Mwelewa JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 2,312
  Likes Received: 2,522
  Trophy Points: 280
  OMG,,,RIP mchungaji, huu ni ukatili na wote waliohusika lazima wachukuliwe sheria kwani wamesababisha kifo cha mchungaji kwa kumpiga, nafahamu sio waislam wote ni wakulaumiwa ila lazima nyie Maimam na Masheikh muwafundishe waumini wenu neno UPENDO hata kama kunakutafsiriwa vibaya kwa kitabu chenu Quran!
  Bora muwe na msingi wa phylosophy ya dini yenu kuwaongoza katika kila jambo, mbona Wakristo hawafanyi vurugu? Jiulizeni ni kwanini na japo huwa mara nyingi dini hii mnaikashifu!
  Kama hamtopata jibu, basi elewa phylosophy ya Wakristo ni UPENDO!
   
 5. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mungu ailaze Roho yake Peponi....Amina
  Mungu aiguse mioyo ya wote waliofanya hili jambo ili watubu...AMina
  Mungu arudishe upendo yumkini uliotoweka mjini mto wa mbu...Amina
  Mungu aondoe kila namna ya udini unaoleta mifarakano ....Amina
  Mungu afunike anga la mto wa mbu amani irudi kama mwanzo...Amina
  Mungu awafundishe wote waliofanya jambo hilo kweli yake...Amina
  Mungu awafundishe wote wanaoleta machafuko ya kidini...Amina

  Na alaaniwe atakayekasirika baada ya kusoma maneno haya
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Inauma sana
   
 7. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Inasemekana baadhi ya vijana wa Kiislamu walioshiriki ktk vurugu za Mto wa Mbu walitokea mjini Arusha!
   
 8. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani ni vema tukafahamu pia nini kilitokea kikasababisha vurugu kabla ya kulaumu waislamu ili tuweze kujipanga vema ili siku za baaadae balaa kama hili likatokea. Kama magazeti yaliripoti ukweli walisema kuwa hawa jamaa waliitukana koran....kama ni kweli hapa pala la kujifunza. Kwanza siwaungi mkono wahubiri ambao wakiwa majukwaani badala ya kumtangaza "BWANA WETU YESU KRISTO' wa hushupalia kusimanga imani za watu wengine ikiwemo uislamu.....jamani ni kweli ndio agizo alilotuachia BWANA YESU KRISTO...INJILI NI NINI? NI KUSHAMBULIA DINI ZA WENGINE??? kwa maoni yangi si kweli...tusiache misingi ya imani.....kwa kufanya hayo hatuwasaidii tunaowahubiria bali tunatupa watu mbali zaidi....ni approach ya kishamba na isiyo na tija kutangaza HABARI NJEMA KWA KUTUKANA WENGINE
  PILI.....kwa kusema haya simaanishi kuwa walistahili kufanyiwa furugu no lakini walijiweka katika hatari ya mashambulizi yasiyo ya lazima
  TATU....Je ndugu zangu waislam kweli hakukuwa na njia mbadala ya kufanya baada ya hili tukio zaidi ya kufanyavurugu.....mna maan kuwa popote tukisikia mihadhara inayo tukana imani ya kikristo nasi tuchukue mapanga? patakalika kweli.....TAFAKARI
  mix with yours
   
 9. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Loh,
  Hapo kwenye red umefanya watu washindwe kuitikia ....ameen, ni neno kali na zito saana.
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kuweni makini ndugu zangu mnapotoa comment kuhusu maswala ya kidini.
  Mnaweza kujikuta hamsolve bali mnaongeza chuki.
   
 11. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  CCM wameshabikia udini hadi matokeo yake ndio haya sasa wategemee laana maana hata hao wenye ndugu watataka kulipa kisasi kwa namna yoyote na hapo ndipo nchi hii haitakalika tena.
   
 12. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  TABIA YA UCHOCHEZI UJUE SIO NZURI. nakumbuka juzi humu jamvini kuna mhuni mmoja alisisitizi kwamba alikuwepo bugando wakati mwili wa mkuu wa mkoa shinyanga unahifadhiwa!, acheni kuleta habari za kuzusha. Na kama umezusha basi dmu ya mchungaji huyo ikulaani!
   
 13. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Poleni ndugu, jamaa, marafiki na wote walioguswa na msiba huu!
   
 14. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni Uislam kujipa haki zote hapa duniani na kujiweka juu ya imani zingine zote. Uislam unaamini quran ndicho kitabu pekee sahihi, Imani zote ni za kikafiri isipokuwa Uislam, Mungu anawaadhibu watu wote wasio waislam hapa duniani kwa kutumia mikono ya waislam na mwislam akiua kafiri (mtu asiyeamini uislam) hana hatia na akifa wakati wa shambulio anaenda peponi moja kwa moja. Kwa mtazamo huo hakuna namna yoyote unayoweza kumsaidia mwislam anayefuata mafundisho ya dini yake.

  Hii ni dini iliyozaliwa na kuenezwa kwa vita na hadi leo ipo kwenye vita isiyoisha dhidi ya dini zingine na itaendelea kufanya hivyo hadi siku ya kiama. Ili kukidhi haja zao za kuua na kudhalilisha dini zingine wanajitafutia visababu vya uongo na ukweli, utasikia eti wamekashifu uislam, wamemtukana mtume, wameidharau quran nk nk. Kinyume chake wao wanafanya watakavyo juu ya imani zingine na hakuna wa kuwakemea.

  Cha msingi hapa ni wewe pamoja na familia yako kujilinda kiimani dhidi ya hizi nguvu za giza. Kesheni na kuomba ili msitiwe majaribuni!
   
 15. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Mwenyezi Mungu amweke pema. Natumaini waliosababisha vurugu wanajulikana.

  Bwana ametoa Bwana ametwaa. Jina la Bwana libarikiwe.
   
 16. J

  Jikombe Senior Member

  #16
  Mar 3, 2011
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Inauma sana.tunaelekea kubaya. mambo ya Imani yanapaswa kuachwa kwa anaye aminiwa ndiye atoe hukumu. kwani imani karibia zote zinakiri udhaifu wa mwanadamu. hivyo anaye aminiwa ndo aachiwe jukumu la kuamua na si wanadamu.

  Poleni wafiwa na taifa zima kwa ni msiba wa kitaifa....isipodhibitiwa habari hizi zitaenea kila kona ya nchi hii.
   
 17. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160

  Whoever shed blood by sword, by sword his/her blood shall be shed.
   
 18. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,359
  Trophy Points: 280
  mlisema hivyo hivyo kuwa dr balele amefariki lakini kesho yake tunaambiwa he is alive and kickin'..hebu tusubiri taarifa ya habari ya usiku
   
 19. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #19
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Ww km hujui nn uislam shut ur mouth up ktk ulimwengu huu wakristo ndo wachokozi na uislam unakataza kuua au kujiua au huoni mulimchora mtume ktk ukatuni je mlitaka 2nyamaze nyinyi ktk nchi zenu munapitisha sheria munazotaka husikii SAUDIA,OMAN wala COMMORO kusema chochote lkn waislam wakitekeleza sheria za dini utasikia obama au cameron kasema hapa la msingi ni kudhibiti na kujichunga na mambo ya uchochezi
   
 20. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #20
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mihadhara ya Manzese kila siku jioni umewahi kuisikia???
   
Loading...