Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,731 May 27, 2014 #121 msnajo said: Katunwa wapi!? Kofia sio tusi!! Badilisha kauli yako, yule sio mtume, ni mfanyabiashara tu! Click to expand... wa sembe.hapa anapata ufadhili toka nje kwa madai kwamba analea watoto yatima kumbe magumash khaaa
msnajo said: Katunwa wapi!? Kofia sio tusi!! Badilisha kauli yako, yule sio mtume, ni mfanyabiashara tu! Click to expand... wa sembe.hapa anapata ufadhili toka nje kwa madai kwamba analea watoto yatima kumbe magumash khaaa
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,731 May 27, 2014 #122 MUNGU SI MZUNGU said: Basi ukifurahi kiasi hicho unagonga na ka "like" japo kamoja! I'm glad you enjoy my comments. :thumbup::thumbup: Click to expand... natumia kasimu ka kichina we amini umepata like hahahaa
MUNGU SI MZUNGU said: Basi ukifurahi kiasi hicho unagonga na ka "like" japo kamoja! I'm glad you enjoy my comments. :thumbup::thumbup: Click to expand... natumia kasimu ka kichina we amini umepata like hahahaa
THE BIG SHOW JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 18,860 Reaction score 15,218 May 27, 2014 #123 msnajo said: Kuna watu wengine watakua kuni za kuchomea wengine! Click to expand... Huyo mchungaji Rwakatare sidhani km kuwa kuni kunamtosha. Yaani ile biashara ya sembe tu imeshaua wanakondoo wengi sana.
msnajo said: Kuna watu wengine watakua kuni za kuchomea wengine! Click to expand... Huyo mchungaji Rwakatare sidhani km kuwa kuni kunamtosha. Yaani ile biashara ya sembe tu imeshaua wanakondoo wengi sana.
THE BIG SHOW JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 18,860 Reaction score 15,218 May 27, 2014 #124 flora msoffe said: wa sembe.hapa anapata ufadhili toka nje kwa madai kwamba analea watoto yatima kumbe magumash khaaa Click to expand... Kajenga bonge la jumba kwa hizo biashara zake za kuuza sembe. Halafu mi nimeshapita pale weekend moja. Nikaskia ile miziki ya kutingisha makalio. Na baada ya muda wakaanza kutoka jamaa humo wamelewa kishenz. Mama mwenyewe mkorogo mpaka ameanza kufanana na wasomali kasoro pua! Yaani balaa! Huyu alitakiwa apate muuza sembe km yy amshugulikie vizuri
flora msoffe said: wa sembe.hapa anapata ufadhili toka nje kwa madai kwamba analea watoto yatima kumbe magumash khaaa Click to expand... Kajenga bonge la jumba kwa hizo biashara zake za kuuza sembe. Halafu mi nimeshapita pale weekend moja. Nikaskia ile miziki ya kutingisha makalio. Na baada ya muda wakaanza kutoka jamaa humo wamelewa kishenz. Mama mwenyewe mkorogo mpaka ameanza kufanana na wasomali kasoro pua! Yaani balaa! Huyu alitakiwa apate muuza sembe km yy amshugulikie vizuri
manning JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 5,093 Reaction score 11,948 Jun 10, 2014 #125 S.Liondo said: Mbona hujaongelea sala zinazopigwa kila alfajiri kwa vipaza sauti kutoka misikitini? Au za walokole tu ndio kelele? Tujenge utamaduni wa kuvumiliana na kuheshimiana. Kama ni kukosoana nina amini kuna ambao makosa yao yatajaza vitabu na vitabu. Click to expand... Pole mkuu mimi ni mwenzenu ila sifa moja niliyo nayo ni kusema ukweli ila hata hilo ulilosema ni la kweli pia.
S.Liondo said: Mbona hujaongelea sala zinazopigwa kila alfajiri kwa vipaza sauti kutoka misikitini? Au za walokole tu ndio kelele? Tujenge utamaduni wa kuvumiliana na kuheshimiana. Kama ni kukosoana nina amini kuna ambao makosa yao yatajaza vitabu na vitabu. Click to expand... Pole mkuu mimi ni mwenzenu ila sifa moja niliyo nayo ni kusema ukweli ila hata hilo ulilosema ni la kweli pia.