Ngoma ni utamaduni wa Mwafrika
Iko kwenye maandishi fulani kwamba "enyi wanafiki, mwachuja mbu na kumeza ngamia" ndio kama hivyo alivyoongea Rwakatare "kwa uchungu"; mnafiki mkubwa huyo.
Yanayostahili kuongelewa kwa uchungu na hasira yanachekewa na kinyume chake. Hivi umaskini unaowakabili watanzania leo hii ni kwa sababu ya NGOMA YA KANGA MOTO inayochezwa huko ufukwe wa Boko kila wikiend? Upuuzi mtupu!
Hivi lile hekalu lake alilo lijenga kwenye mkondo wa maji limeisha bomolewa?
Ngoma za kudhalilisha sio utamaduni wa mwafrikaNgoma ni utamaduni wa Mwafrika
Ngoma za kudhalilisha sio utamaduni wa mwafrika
Hao wanavunja maadili kama yy alivyo puuza madili ya dini na kujitangaza mchungaji akipuuza maandiko.Hana lolote fis.adi jike huyo.
Ngoma .......
Nyie watu vipi acheni unafiki! Hizo ngoma zinamdhalilisha nani? kwani kuna watu wanafungwa minyororo wanachezeshwa hizo ngoma? Kama zingekuwa zinadhalilisha zisingekuwa na mashabiki! Unajua lazima tujifunze kuwaacha watu huru wajimwage wajitafutie riziki zao kama wanavyoona wao alimradi tu hawaingilii uhuru wa mtu mwingine naye kuishi apendavyo! hivi hizo kanga moko zainingila uhuru wa mtu mwingine? kama huzitaki unaenda kuanalia za nini? kama zinakukkwaza kwa nini uende kuzikodolea mimacho? Si uende na shughuli zako uwaache wanaozifurahia waendelee kupata uhondo! Acheni hizo. Hizi ngoma mbona wakati zinachezwa watu wanjaa kedekede! Acheni unafiki! Tatizo unajua hawa viongozi wanafiki wanaojifanya ni watumishi wa mungu wanaingiza mambo ya dini kwenye maisha ya watu ambao hawahusiani na dini zao! Hiyo karne imeshapita!