mchungaji na mlevi

mchungaji na mlevi

jbrown

Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
6
Reaction score
3
mlevi na mchungaji walikutana ndani ya daladala, sasa mchungaji hakupendezwa na kitendo cha yula mlev kulewa ndani ya daladala akaamua kumuuliza swali na mazungumzo yao yalikua hivi:mchungaji: hivi wewe unamjua mungu kweli? mlevi: hapana cwez kumjua kwasababu mm sio mwenyeji hapa ni vyema ukamuuliza kondakta
 
mchungaji : kwa tabia yako ya ulevi hautafika mbinguni.
Mlevi : kumbe hili gari linaenda mbinguni!! Dereva simamisha gari nishuke mi siendi huko.
 
Back
Top Bottom