Mchungaji na mlevi

Mchungaji na mlevi

P I M

Senior Member
Joined
Feb 16, 2011
Posts
139
Reaction score
24
Mlevi mmoja alipanda daladala moja na mchungaji, mchungaji akamwambia 'mpendwa unajua unaenda motoni' mlevi kwa kupayuka akaita 'konda! konda! konda! nishushe mm siendi moton naenda tabata'
 
Back
Top Bottom