Mchungaji na mkewe wanusurika kuuawa

Sijaisoma yote.
kuna kisa cha Mchungaji alikuta jamaa kalikata sasa kashindwa kulikokota kuvuka barabara wakamsaidia walipolivusha wakaendelea na safari sasa wao wameona miujiza mkataji kashindwaje na ana upanga/nyengo
Mada kamaliza hapo hakuna cha picha ila ni CHAI YA MOTO
 
Mkuu hiyo ni fursa.Kama una uwezo wa kumkemea jambazi mpaka akakauka basi fungua kampuni za kulinda(Security Companies)ili ulinde kwa kukemea tu.
Za kuambiwa changanya na zako.
 
Mchungaji kaona ngoja akufanye demo😁😁
 
Mungu alikuokoa wewe ambaye huyo Mchungaji wako aliamua kukutoa sadaka.

Wachungaji wengi ni waizi na wauwaji inawezekana mchongo wote aliufanya yeye, omba ili upewe maono.

Na ukiendelea naye he will kill you direct
Ukute alitaka kumtoa kafara

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Lini na wapi ilitokea hili tukio mkuu?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hiyo ni fursa.Kama una uwezo wa kumkemea jambazi mpaka akakauka basi fungua kampuni za kulinda(Security Companies)ili ulinde kwa kukemea tu.
Za kuambiwa changanya na zako.
Dah, pesa mbele. Utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake na hayo yote mtazidishiwa(Mathayo 6:33).
 
Vichekesho kama hivi unavitoa wapi?
 
....Katika karne hii hapo ambapo yote haya unayodai kuwa yalitokea hapana jina??
 
Yaani katika nyie watatu wewe ndiye uliyenusurika kuuwawa, lakn kwa kuwa mchungaji kakutawala akili yako yote, wewe unaandika kichwa cha habari "mchungaji na mkewe wanusurika kuuwawa". Hizi akili hizi!
 
Itakuwa alikuwa anakata mti apate kuni. Kama umesema hiyo Barabara haiko bize, huyo mtu aliona mda mzuri wa kukata mti wake ndio huo..
HAKUA JAMBAZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…