Mchungaji Mwingira ashtakiwa, adaiwa kuzaa na mke wa raia wa Marekani

Duuh!

Hivi watu wanakuwaga wamelogwa ama vipi huwa sielewi hii mambo kwa kweli!

Kiufupi hakuna nabii yeyote dunia hii, wote ni wapigaji wakiongozwa na kinara wao mtabiri wa Nigeria!

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani, ni wasela tu wameamua kujificha kwenye kichaka cha dini na vitabu kuntu vya Mwenyezi Mungu wao mara ooo ooooh Mungu Ooh ooooh ooooh, Allah.

Huku nyuma yao wameficha mjegejo ili wale papuchi za waumini wao.
 
Hii kesi bado inaendelea tu miaka yote? Jinsi gazeti lilivyoandika nikadhani jamaa kakumbwa na mkasa mwingine.

Vv
 
hiyo hesabu ya bllion saba inafikaje? wanatumia kanuni gani kudai hizo hela mtu akitembea na wife?
 
Tuhuma peke yake inatosha kum knock out huyu mchungaji. Haya makanisa ya kilokole ni shida sana hasa kwa wake za watu. Watu hawa wanashinda na kulala makanisani kwa visingizio mbalimbali vya vifunga visivyoisha, maombi yasiyoisha nk. Kwa tuhuma hizi kama alivyosema mdau humu, waumini wake watakesha na kuomba ili wamnusuru mchungaji wao na hizi tuhuma, wanasahau kabisa kuwa mchungaji naye ana madhaifu Kama wao tu. Shame to those churches.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo k imekaa sehemu mbaya sana,haijulikani ipo mbele,nyuma au katikati!ukisimama inakuwa katikati,ukibinuka inakuwa nyuma,ukikaa inakuwa mbele!daah hii kitu haina cha shehe wala mchungaji,mnamuonea tu baba wa watu
Hahaha. Sijui kama Mungu kama asingeumba kama ilivyo kama wanaume wangewatamani wanawake. Maana hata kama demu ana sura mbaya lakini mwisho wa siku integemea K yake ikoje.
 
Naona jf imekua mahakama.
Alafu hii kesi mbona ni ya zamani sana.
Uyo nabii si akapime kesi iishe kwani tatizo liko wapi kama kadinal wa roma aneshitakiwa kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono sembuse mngoni..

Akapime iyo dna mambo yaishe.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaaa kashfa hizi zinamwandama sana.

Usherati hautakiwi kutajwa kwenu kamwe....
Nabii wa Kingoni, unategemea nini ?
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeombwa kumwamuru Mchungaji Josephat Mwingira akapime kipimo cha kubaini vinasaba (DNA) ili kujua baba halali wa mtoto anayedaiwa kuzaa na Dk. Phillis Nyimbi ambaye ni mke wa Dk. William Morris.

Maombi hayo yamewasilishwa mahakamani hapo, Dar es salaam jana na Dk. Morris kupitia wakili wake, Respicius Ishengoma.

Dk. Morris ambaye ni raia wa Marekani, alifungua kesi katika mahakama hiyo akimtuhumu Mchungaji Mwingira kuzini na kuzaa na mke wake Dk. Nyimbi.

Mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, wakili Ishengoma aliwasilisha maombi hayo akitaka mteja wake, Dk. Morris na mkewe Dk. Nyimbi, Mchungaji Mwingira na mtoto aliyezaliwa, wakapime kipimo hicho ili kujua baba halali wa mtoto huyo mwenye umri miaka tisa sasa.

Katika maombi hayo namba 113/2017, Dk. Morris anaomba mahakama itoe amri wahusika wote wakapime DNA.

Baada ya kuwasilisha maombi hayo, mahakama imeyapokea na kutoa siku 14 kwa Mwingira kuyajibu kisha usikilizwaji uanze na kutolewa uamuzi. Mwingira atajibu Agosti 2,mwaka huu.

Katika kesi ya msingi namba 306/2013, Dk. Morris amewashtaki Mwingira na Dk. Nyimbi, na anadai alipwe fidia ya Sh bilioni 7.5 kwa mchungaji huyo kuzini na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mkewe.

Chanzo: Mtanzania
 
Back
Top Bottom