Mchungaji Mtikila alikuwa na wafuasi wachache lakini walimpigania zaidi ya ilivyo Mbowe na Chadema

Weka uchaguzi huru na haki tupate jibu. Wepesi mnawaua, mnawapoteza, mnawabambikia kesi,.. kumbe aliki yako takataka! Mwepesi unatumia TISS, polisi etc etc
Unataka kuletewa uchaguzi huru kwenye sahani?

Huo ndio wepesi wenyewe.
 
Back
Top Bottom