Msigwa mburula kweli kachukua picha bavicha wakiwinda kwenye hifadhi zetu yeye analeta siasa zake nyepesi.
Ficha ujinga wewe sheria gani inaruhusu kukamata watoto wa pundamilia tena hai??
Unaamini Kampuni iliyokuwa inafanya hivyo ni hiyo moja tu?
Kama serikali ingetangaza kusimamisha shughuli zote za uwindaji, naamini tungejua mengi zaidi, Makampuni ya Utalii hivi karibuni yaliitaka Serikali isimamishe uwindaji mbugani kwa madai kama haya ya Mh. Msigwa na kusema kuwa Makampuni ya Uwindaji yanahatarisha biashara ya Utalii.
Kama serikali ni makini ingekaa vikao na Makampuni ya Utalii ili kujua sababu na kipi kinaendelea mbuga za Wanyama. Tungejua mengi.
Au kumpiga risasi mnyama huku unamkimbiza kwa gari. Bado ataendelea kukubishia wakati Waziri mwenye dhamana amekubali kufanya uchunguzi wa jambo hilo maana ni kukiuka sheria za uwindaji.
Hawa vijana wanaolipwa hapo Lumumba ni zaidi ya mizigo kabisa. Wanazidi kuonyesha kuwa wafuasi wa hicho chama akili zao ni below avarage.
Sent from my iPad using JamiiForums
Msigwa mburula kweli kachukua picha bavicha wakiwinda kwenye hifadhi zetu yeye analeta siasa zake nyepesi.
Kwa wataalamu wa wanyama pori, hivi hakuna sheria ambayo itaiwezesha nchi, kuwafungulia mashitaka wale wahuni wote wanaoonekana kwenye ile video pamoja na kampuni husika ?
Majangili wanao wawakilishi wao serikalini, ndani ya chama tawala na hivi sasa wamehamia mitandaoni...hata humu JF wamo; Simiyu Yetu, Ruttashobolwa, Abunuas na hapo hawajaja akina MSALANI, Lizaboni n.k...hiyo ndiyo Tanzania; tunao watu wa ajabu kabisa!wenyewe wanasema msigwa katumwa na mafisadi!
utakuwa na matatizo wewe kwenye medula yako.Majangili wanao wawakilishi wao serikalini, ndani ya chama tawala na hivi sasa wamehamia mitandaoni...hata humu JF wamo; Simiyu Yetu, Ruttashobolwa, Abunuas na hapo hawajaja akina MSALANI, Lizaboni n.k...hiyo ndiyo Tanzania; tunao watu wa ajabu kabisa!