Mchungaji Msigwa akiwa kazini Washington Marekani

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,907
Mwaka 2012 baba Mchungaji Msigwa alisafiri kikazi kwenda Marekani.Pichani akiwa kazini. Alipiga picha hii watu waone sura yake akiwa kazini kama ambavyo wanataka TBC iwaonyeshe sura zao wakiwa kazini.Hapo yuko pichani akichapa kazi mbele ya ubalozi wa Tanzania marekani.

Wengi walikuwa wakisafiri nje wanarudi na picha kama hizi badala ya kurudi na mambo yatakayoisaidia nchi.Magufuli alipoliona hili la watu kurudi hivi akaamua kusema kusafiri hovyo nje NOOOOOOOO!!!!!!

_DSC8604.JPG
 
Yaani watu tunaongelea wagonjwa kuteseka muhimbili Kwa sababu ya Inneficiency ya serikali ya CCM wewe unaleta this Upuuzi humu...pumbafu wewe

Inawezekana watu hao wanateseka muhimbili kwa sababu ya pesa aliyotumia Msigwa kutanua na kupiga picha kama hizo marekani ingetumika kuhudumia hao wanaoteseka Muhimbili badala ya kumpa Msigwa
 
Kenge wewe...Hio ni safari binafsi ya msigwa

Angalia unavyodanganya mchana kweupe.Hiyo ziara ilikuwa ya Kikazi yeye Msigwa akiwa waziri kivuli wa Wizara ya Mali ya asili ambapo alihudhulia maonyesho ya uwindaji duniani ili aweze kujua vizuri tasnia ya uwindaji.Ilikuwa ya kikazi acha uzushi wewe.
 
Angalia unavyodanganya mchana kweupe.Hiyo ziara ilikuwa ya Kikazi yeye Msigwa akiwa waziri kivuli wa Wizara ya Mali ya asili na utalii Mbunge wa iringa mjini na Waziri Kivuli Maliasili na Utalii ambapo alihudhulia maonyesho ya uwindaji duniani ili aweze kujua vizuri tasnia ya uwindaji.Ilikuwa ya kikazi acha uzushi wewe.
maonyesho yako wapi wewe hapo?
 
MABANGO ULIYOPEWA MBULUKENGE YEHODAYA! KWA UTUMBO ULIOLETA HUMU, YANATOSHA KUJUA AKILI YAKO MGANDO! NA YA KINAFIKI! ILIVYO SAWA NA CHAMA CHAKO!.
 
Tujadili HOJA yake badala ya kumshambulia yeye. Watu wa upande ule bado mko vilevile pamoja na kuletewa Lowasa mvumilivu?
 
Mwaka 2012 baba Mchungaji Msigwa alisafiri kikazi kwenda Marekani.Pichani akiwa kazini. Alipiga picha hii watu waone sura yake akiwa kazini kama ambavyo wanataka TBC iwaonyeshe sura zao wakiwa kazini.Hapo yuko pichani akichapa kazi mbele ya ubalozi wa Tanzania marekani.

Wengi walikuwa wakisafiri nje wanarudi na picha kama hizi badala ya kurudi na mambo yatakayoisaidia nchi.Magufuli alipoliona hili la watu kurudi hivi akaamua kusema kusafiri hovyo nje NOOOOOOOO!!!!!!

Yaani hakuna watu nawadharau hapa jukwaani kama wewe. Utamaduni wa kimarekani uvaaji wa hivyo sio tatizo kabisa ila huku kwetu ndio shida. Mfano mrahisi leo mzungu akija ama hata wewe ukienda huko kwa wabarabaigi wengi wanavaa nguo kifunika sehemu ndogo tu ya mwili wao na sio kwamba ni kwa ajili ya ngono kama wewe unavyotaka tuamini. Wamasai wangapi tunawaona wakiwa wamevaa rubega zao huku tako moja liko uchi, ama unadhani wanahamisisha ushoga?

Naona umeamua kutumia masaburi badala ya ubongo,hivi nyinyi vijana wa lumumba ni lini mtakuwa na akili ya ujenzi wa taifa badala ya kuwa na majungu kila uchao?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom