johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
wamekufa na nini? sijasikia nijuzeMchungaji wa Kanisa la KKKT kimara mtumishi Matsai amewaombea wazazi wote ambao watoto wao waliuawa katika tukio baya kabisa la mauwaji lililotokea pale daraja la salenda
Aidha mchungaji Matsai ameitaka serikali kufanya uchunguzi thabiti ili kubaini sehemu ambazo raia hupata mafunzo ya kijeshi.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Kwenye tukio kama lile la kutaka kuchoma moto vituo vya mafuta!wamekufa na nini? sijasikia nijuze
Watoto wa Tanzania!Hivi kuna watoto gani wameuawa au mi siko nchini
Watoto wa Tanzania!
Ni saa 5:30 bwashee!Bwashe leo kwa Askofu Gwajima hakuna dili? Mbona hukwenda?
hahahahah ...... Bwashe hiyo misaa ya mchana ni ya watoto wa kipaimara. Achana na hayo makanisa, baki na akina Matsai.Ni saa 5:30 bwashee!
Hata wazazi wa Hamza wanahitaji kuombewa na kufarijiwaMchungaji wa Kanisa la KKKT kimara mtumishi Matsai amewaombea wazazi wote ambao watoto wao waliuawa katika tukio baya kabisa la mauwaji lililotokea pale daraja la salenda
Aidha mchungaji Matsai ameitaka serikali kufanya uchunguzi thabiti ili kubaini sehemu ambazo raia hupata mafunzo ya kijeshi.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Anaitwa Mastai, siyo Matsai.Mchungaji wa Kanisa la KKKT kimara mtumishi Matsai amewaombea wazazi wote ambao watoto wao waliuawa katika tukio baya kabisa la mauwaji lililotokea pale daraja la salenda
Aidha mchungaji Matsai ameitaka serikali kufanya uchunguzi thabiti ili kubaini sehemu ambazo raia hupata mafunzo ya kijeshi.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
g labda alipitia mafunzi alipi maliza form sixWatoto wa Tanzania!
Hakuna Mchungaji anaitwa Matsai, sijui unatonywa na nani.Mchungaji wa Kanisa la KKKT kimara mtumishi Matsai amewaombea wazazi wote ambao watoto wao waliuawa katika tukio baya kabisa la mauwaji lililotokea pale daraja la salenda
Aidha mchungaji Matsai ameitaka serikali kufanya uchunguzi thabiti ili kubaini sehemu ambazo raia hupata mafunzo ya kijeshi.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hahahaaaa....... Kumbe unamfahamu meku!Hakuna Mchungaji anaitwa Matsai, sijui unatinywa na nani.
Mimi namfahamu Mchungaji Willy Mastai wa Kimara.
Hao ni public figures!Hahahaaaa....... Kumbe unamfahamu meku!
AminaMchungaji wa Kanisa la KKKT kimara mtumishi Matsai amewaombea wazazi wote ambao watoto wao waliuawa katika tukio baya kabisa la mauwaji lililotokea pale Daraja la Salenda.
Aidha mchungaji Matsai ameitaka serikali kufanya uchunguzi thabiti ili kubaini sehemu ambazo raia hupata mafunzo ya kijeshi.
Nawatakia Dominica yenye baraka!