Gefu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 6,929
- 2,567
Kuna wakati nasemaga bora niwe mpagani kuliko kwenda kwenye makanisa ya kitapeli
...kwa mtazamo huu hata mimi nakuunga mkono,endelea na upagani usije ukawachafulia wanao amini wokovu upo...!
Kuna wakati nasemaga bora niwe mpagani kuliko kwenda kwenye makanisa ya kitapeli
Kuna wakati nasemaga bora niwe mpagani kuliko kwenda kwenye makanisa ya kitapeli
...oohh mkuu asante kwa ufafanuzi, eti jamaa anasema ninyi msipo msifu atainua mawe yamsifu, usimwambie mtu lakini fanya siri mkuu...
Siri ya nini wakati maandiko yapo wazi kabisa!!
Mkuu Acha wafu wazike wafu wenzao...
Turudi kule kwenye Sports Dirisha la Usajili limepamba Moto..
...kwa mtazamo huu hata mimi nakuunga mkono,endelea na upagani usije ukawachafulia wanao amini wokovu upo...!
Heaven on Earth Picha zingine ziko wapi?
Yes, Nos.2, 5 na hizo 6szipo mkuu unataka niziweke tena
Yes, Nos.2, 5 na hizo 6s
Chezea makanisa Fursa.....
Yeye hapo anaangalia pesa tuu...Wajinga ndio waliwao..
shikamoo baba mchungaji...