Hahaha et upakoAna bahati mbaya!wee vipi!Huyo kapata upako wa kutosha zaidi ya wenzie.
Huu upumbavu kamwe hauwezi kuwa njia ya kuingia mbinguni
Halafu ile dini ya kutembea na MABOMU viunoni iangaliwe kama nini?Hii dini iangaliwe tena upya maana ni hatari kuliko EBOLA na ZIKA
Anamkanyaga kivipi mkuu?huenda na yeye anamkanyaga
Si unaona huyo jamaa mwenyew kashiba, wale wembamba wangemuangusha!Hahaha huyo jamaa mwenye nguo nyeupe anabahati mbaya sana akambeba alafu akakanyagwa tena.
Miafrika Ndivyo Tulivyo. Talk Shit, Get Hit.Nimeshasema ukiwa na akili kubwa ni vigumu sana kuwa muumini wa hizi imani za kidini.
I mean, hivi kweli hao washikaji wana akili timamu hao?
Sidhani aisee.