Mchungaji Lusekelo: Biblia inasema Askofu awe Mume wa Mke mmoja lakini Siku hizi kuna maaskofu wanawake, mambo yanabadilika sana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
Mchungaji Lusekelo anasema zamani Wakristo walikatazwa kusalimiana na Watu wasioamini lakini Siku hizi jamii imebadilika na tumekuwa wakristo na waislamu ni Ndugu

Hata maaskofu wanawake hawajaandikwa popote katika Biblia lakini leo wapo amesema mzee wa Upako
 
Religion is an opium of man.

Yeye mbona ni mzee wa konyagi au anadhani tumesahau.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mchungaji Lusekelo anasema zamani Wakristo walikatazwa kusalimiana na Watu wasioamini lakini Siku hizi jamii imebadilika na tumekuwa wakristo na waislamu ni Ndugu

Hata maaskofu wanawake hawajaandikwa popote katika Biblia lakini leo wapo amesema mzee wa Upako
kwahyo wapo tu,atuambie wapo kwa amri ya ktabu gani
 
Waoe kihalali siyo kulala nyumba za wajane kujifanya wanaomba
Hapa tatizo na maandiko. Askofu anatakiwa awe na mke mmoja kwa mujibu wa bibie, sasa siku hizi Kuna maaskofu wanawake ambao kwenye biblia hawapewa muongozo wa kuwa na mke mmoja. Je, ni halali kuwa na mtu mwanamke eti ni askofu? Ataoaje mke mmoja kwa mujibu wa bibie hali yeye ni mwanamke?
 
Kwa hiyo tusisalimiane?

Hivi Pope Joan yule mwanamke miaka ya nyuma sana ilikuwa ni kweli au fix tu
 
Back
Top Bottom