FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
Kiduchu unaanza kujitambua, kumbe bhan dawa.
Ndio nini hiyo?
Kiduchu unaanza kujitambua, kumbe bhan dawa.
Iyela Mbeya ccm walisimamisha mburushi, CDM walimamisha mgombea tz original kilichotokea mnakijua wenyewe. Msomali kinana atakaribishwa kwa maswali magumu. Je kauwa tembo wangapi mpaka sasa?mkuu utapasuka msamba kwa hisia ambazo hazina ukweli kibanda aliwahi kuandika akasema kuwa ni wapuuzi peke yao watakaobeza uteuzi wa kinana,
matokeo yake tumeanza kuyaona mnahangaika sana kuuza nyanya mbovu mzee wenu hauziki tena.
duh, mkuu si uelezee maana ya kunanga basi! Badala ya kumkosoa tu kwa nini wewe usionyeshe matumizi sahihi ya neno? Ukifanya hivyo utawasaidia wengi!unajua maana ya kunanga au unajiandikia kama uliyetoka usingizini kuwa makini na matumizi ya maneno.
Mkuu, hapo kwenye Bold sijakuelewa, kumbe kuna mafuta hua yanatoa majini kwa watu ukipakwa? Sasa hapo connection ya utapeli mbona sijaiona? Anyway, nawasubiri waliomnanga Kakobe kwamba kachanganya dini na siasa, huyu sasa ambae tunajua ni mnazi wa magamba nae katamka neno, sijui hapa pia siasa imechanganywa na dini?