Ni mmoja kati ya watumishi wa "mungu" wezikumbe bado anauoga,ila mda utafika na atasimama kwenye haki.
Alikuibia nini? Au ni chuki tu.Ni mmoja kati ya watumishi wa "mungu" wezi
wachungaji feki kama huyo na yeye unaweza kumpa tatizo ili akushauri? huyo ni msanii kama kakobe, hawana tofauti na vyuo vya kwenye maredio na TvMchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo Kibangu, Anthony Lusekelo, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinashinikiza kusainiwa kwa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa mwaka 2013, ili ipatikane katiba itakayokibeba chama hicho. source: mwananchi
naona sadaka haziwatoshi wameamua kuingia kwenye siasa wapige hela vizur bas sawa ndo ujasiria mali huo via mch msingwa,rwakatale,kakobe
Bado siwezi kumwamini huyu anayejiita mtumishi wa mungu, siku hizi kuna watumishi iwale ambao biblia inasema tuwe macho ,watakuja wahubiri wengi siku za mwisho.
Anaangalia dau tu huyo.
Alikuibia nini? Au ni chuki tu.
Huyu atakuwa na mkuu wa mapepo. Bilizebuli.umetumwa,au unapepo
mchungaji tapeli heti anafanya miujiza kwa jima la Yesu.huyu huwa anatumia
mafuta fulani hupaka mkononi akikushika usoni ukivuta hewa nakama kweli unamajini yatatoka.huyu nitapeli msiwe wajinga
wachungaji feki kama huyo na yeye unaweza kumpa tatizo ili akushauri? huyo ni msanii kama kakobe, hawana tofauti na vyuo vya kwenye maredio na Tv
Hao ni waongo kama baba yao, ni mwongo na muuwaji. Anaitwa shetani.Usiropoke mdogo wangu,ulishamwona akipaka hayo mafuta? Tukiomba utuletee ushahidi utakua nao?
Wa uko wa Panya makao makuu Lumumba..Hao ni waongo kama baba yao, ni mwongo na muuwaji. Anaitwa shetani.