babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,314
- Thread starter
- #21
Naona na wao wameshtuka, wanauziwa mbuzi kwenye gunia.
hahahah,wamezoea zidumu fikra za mwenyekiti
Naona na wao wameshtuka, wanauziwa mbuzi kwenye gunia.
unajua maana ya kunanga au unajiandikia kama uliyetoka usingizini kuwa makini na matumizi ya maneno.
mchungaji tapeli heti anafanya miujiza kwa jima la Yesu.huyu huwa anatumia
mafuta fulani hupaka mkononi akikushika usoni ukivuta hewa nakama kweli unamajini yatatoka.huyu nitapeli msiwe wajinga
mchungaji lusekelo na padri slaa nani tapeli zaidi au nani mwenye dhambi nyingi make wengine uzinzi ndiyo zenu.
huna upeo wakunipangia maneno yakutmia,nilijua hampo kumbe mpo
Uko wa panya bado uko shimoni...hahaha,watoto wa lumumba,buku 7 fc wapo wapi?
tupo unataka nini au unataka kuanza matusi sema matusi yako tukusikie,
unadhani jukwaa hili la mjomba wako kuwa utakuwa peke yako sahau hapa kila mtu anaingia na kujadili.
Uko wa panya bado uko shimoni...
lumumba fc mupo,hata kwa uzi huu unapigania buku 7 duh.
mkuu utapasuka msamba kwa hisia ambazo hazina ukweli kibanda aliwahi kuandika akasema kuwa ni wapuuzi peke yao watakaobeza uteuzi wa kinana,
matokeo yake tumeanza kuyaona mnahangaika sana kuuza nyanya mbovu mzee wenu hauziki tena.
mchungaji lusekelo na padri slaa nani tapeli zaidi au nani mwenye dhambi nyingi make wengine uzinzi ndiyo zenu.
niktkane nin wakat chama ulchopo 2 umejitukana
chama kipi katibu mkuu wake anaishi kinyumba na akina mama wengi bila kuwaoa hayo ndiyo matusi sasa kama hujui.
aliyeowa katoto ka miaka sita ndio mzinzi zaidi na ndio mwenye zambi zaidi, na ndio Tapeli zaidi.
Kuna panya wachache wamejitokeza humu mapovu yanawatoka kwi kwi kwi kwi...ukoo huu upo mbioni kumalizwa.
Kuna panya wachache wamejitokeza humu mapovu yanawatoka kwi kwi kwi kwi...
Wamebaki na yule mganga wao Maji Marefu...lumumba mmekuja kwa kasi,hii habari co njema kwenu.
Wamebaki na yule mganga wao Maji Marefu...