Mchungaji Lusekelo ainanga CCM

Mchungaji Lusekelo ainanga CCM

Maneno ya mfa maji hayo,kamuulie mchembe na wasira kuhusu mpango wa kuiua cdm umefikia wapi! CDM NI NOUMAAAAA
 
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo Kibangu, Anthony Lusekelo, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinashinikiza
kusainiwa kwa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa mwaka 2013, ili ipatikane katiba itakayokibeba chama hicho.

source: mwananchi
Yale ma-Benz , ma-Hummer na majitu ya kutisha bado anayo mtumishi?
 
mchungaji wa kanisa la maombezi (grc) la ubungo kibangu, anthony lusekelo, amesema chama cha mapinduzi (ccm), kinashinikiza
kusainiwa kwa muswada wa marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya katiba wa mwaka 2013, ili ipatikane katiba itakayokibeba chama hicho.

Source: Mwananchi

jembe ni mmoja tu "kakobe".wengine wote ni bendera fuata upepo!!
 
Usiropoke mdogo wangu,ulishamwona akipaka hayo mafuta? Tukiomba utuletee ushahidi utakua nao?

mafuta hayo yapo siri hiyo kaitoa mchungaji Rubeni Rufindu kama sijakosea ambaye kwa sasa ameacha utapeli huo video yake ipo
 
Haya, huyo ndio Mchungaji wa kondoo...anayebeba uongo ili kuwapendeza watu... mchakato mzima ulikwenda vizuri mchungaji hakuongea kitu, watu wametumia helikopta kuwashawishi wananchi...mchungaji hakusema kitu...kamati ya katiba ikiwajumuisha wapinzani imekaa na kukubaliana...mchungaji hakusema kitu...muswada umepelekwa bungeni rais anakashifiwa...mchungaji hakusema kitu...wabunge wamefanya fujo bungeni mchungaji hakusema kitu...sasa muswada unatakiwa usainiwe..ndio mchungaji anaibuka na ati kuinanga CCM...alikwina? Mtumishi wa Mungu kuwa mkweli na simamia ukweli...huko unakotaka kutupeleka kondoo wako siko...
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo Kibangu, Anthony Lusekelo, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinashinikiza
kusainiwa kwa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa mwaka 2013, ili ipatikane katiba itakayokibeba chama hicho.

source: mwananchi
 
Jiulize huyo anayetaka uvip air port anafikiria kweli kuleta maendeleo ktk nchi yake,maana akili yake imeishia hapo,hakuna anachowaza kuhusu nchi yake,viongozi wa aina hii sijui wanateuliwa kwa sifa zipi,
 
mchungaji tapeli heti anafanya miujiza kwa jima la Yesu.huyu huwa anatumia
mafuta fulani hupaka mkononi akikushika usoni ukivuta hewa nakama kweli unamajini yatatoka.huyu nitapeli msiwe wajinga

Mkuu, hapo kwenye Bold sijakuelewa, kumbe kuna mafuta hua yanatoa majini kwa watu ukipakwa? Sasa hapo connection ya utapeli mbona sijaiona? Anyway, nawasubiri waliomnanga Kakobe kwamba kachanganya dini na siasa, huyu sasa ambae tunajua ni mnazi wa magamba nae katamka neno, sijui hapa pia siasa imechanganywa na dini?
 
mchungaji wa kanisa la maombezi (grc) la ubungo kibangu, anthony lusekelo, amesema chama cha mapinduzi (ccm), kinashinikiza
kusainiwa kwa muswada wa marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya katiba wa mwaka 2013, ili ipatikane katiba itakayokibeba chama hicho.

Source: Mwananchi

vita dhidi ya dawa za kulevya na pesa haramu zitatoa pweza wengi waliokuwa wamejificha kwenye mashimo.
 
kwa kauli hiyo tu , najipanga kuhamia rasmi kwenye kanisa lake .
 
Mkikua mtaacha, kazi kusingizia watu, Lusekelo anajitambua sio kama Zakaria Kakobe.
 
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo Kibangu, Anthony Lusekelo, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinashinikiza
kusainiwa kwa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa mwaka 2013, ili ipatikane katiba itakayokibeba chama hicho.

source: mwananchi

Hivi mnaelewa maana ya "kunanga" au mnajiandikia tu?
 
Mkikua mtaacha, kazi kusingizia watu, Lusekelo anajitambua sio kama Zakaria Kakobe.

Kakobe hajitambui kivipi? Nakupa ushauri wa bure. Acha kuwa kisima cha pepo watakuangamiza. Kumbuka hao ni watumishi wa Ibilisi. Kwa kuwa una pepo ndani yako ni lazima utawanenea watumishi wa Mungu wa kweli kwa ubaya. Shauri yako.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom