Mchungaji Lusekelo ainanga CCM

Mchungaji Lusekelo ainanga CCM

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
4,644
Reaction score
3,314
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo Kibangu, Anthony Lusekelo, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinashinikiza
kusainiwa kwa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa mwaka 2013, ili ipatikane katiba itakayokibeba chama hicho.

source: mwananchi
 
huyu ni mnafiki kuna wakati huwa anawasifia sana. Tunajua alinunuliwa tangu uchaguzi uliopita hapo kaongea ili aongezewe dau.
 
Katiba ni sheria mama kwa nchi yeyote duniani,Hivyo Mh Rais anatakiwa atumie busara na hekima kuwasikiliza wadau wote ambao wanapinga kusainiwa kwa mswaada huo kuwa sheria, sizani kama wadau wote hao wanaweza kupinga tu bila ya kuwa na sababu za msingi.Katiba ni ya watanzania ni si ya kikundi cha watu wachache.
 
huyu ni mnafiki kuna wakati huwa anawasifia sana. Tunajua alinunuliwa tangu uchaguzi uliopita hapo kaongea ili aongezewe dau.
Peleka ujinga wako mkuu ROMBO..Umemnunua wewe..senge kweli wewe kwenye maslahi ya taifa.
 
Kuna kitu anataka kuongea kuhusu wapinzani hususani Chadema, hivyo ametoa kauli hiyo ili siku akifagilia CCM dhidi ya CDM ionekane ni mtu makini na anamaono ya kimungu.
 
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo Kibangu, Anthony Lusekelo, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinashinikiza
kusainiwa kwa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa mwaka 2013, ili ipatikane katiba itakayokibeba chama hicho.

source: mwananchi

unajua maana ya kunanga au unajiandikia kama uliyetoka usingizini kuwa makini na matumizi ya maneno.
 
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi
(GRC) la Ubungo Kibangu, Anthony
Lusekelo, amesema Chama Cha
Mapinduzi (CCM), kinashinikiza
kusainiwa kwa Muswada wa
Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko
ya Katiba wa mwaka 2013, ili
ipatikane katiba itakayokibeba chama hicho.

source mwananchi
mchungaji tapeli heti anafanya miujiza kwa jima la Yesu.huyu huwa anatumia
mafuta fulani hupaka mkononi akikushika usoni ukivuta hewa nakama kweli unamajini yatatoka.huyu nitapeli msiwe wajinga
 
Lusekelo hua simwelewi, angalau ameshtuka kua CCM ni majambazi!
 
Kuna kitu anataka kuongea kuhusu wapinzani hususani Chadema, hivyo ametoa kauli hiyo ili siku akifagilia CCM dhidi ya CDM ionekane ni mtu makini na anamaono ya kimungu.

Naona unajistukia hujaitwa unaitika wewe ukiitwa itakuwaje ondoa hofu mda bado ni mwingi sana chamoto mtakiona tu chadema ndiyo basi tena.
 
Back
Top Bottom