johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 86,128
- 146,471
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema taifa letu Chawa wamejaa kila kona na kuwapofusha macho viongozi wetu.
Dr Kimaro amesema Chawa wako kila mahali kuanzia kwenye vyama vya siasa hadi makanisani.
Mchungaji Kimaro anasema Kiongozi makini huwapenda wakosoaji kwa sababu wanapomueleza Ukweli wanamfanya ajirekebishe na kujijenga zaidi.
Lakin Wabunge na Mawaziri wengi huwapenda Chawa kwa sababu wanapenda kudanganywa.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.