Mchungaji kapigwa ngumi? Clouds FM

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2008
Posts
2,502
Reaction score
743
NILIKUWA NINASIKILIZA RADIO YA CLOUDS FM SASAIVI, walionyesha kumhoji jamaa mmoja hivi anayesema kuna mchungaji mmoja mkubwa alikuwa anatembea na mke wake.

Jamaa anasema alimpiga ngumi siku walipokutana na mchungaji huyo, anasema siku nyingine walikutana kwenye Berber shop ananyoa akaanza kumpiga kwasababu aliiba mkewe...lakini hawajataja jina.

Naomba mwenye jina lake kama mtu ana uhakika lakini, au kwa wale waliokuwa hapo kwa kinyozi, ni mtu gani alipigwa?....mchungaji gani huyu? imenistua na ningependa kujua.
 
huyo mtemi pangechimbika ati!

Ni Mwingira. Hapakuchimbika kwa sababu aliogopa kupoteza kibarua na magazeti yangemchonga kweli kweili. Si hayo tu bali hata Mahakama ingemuandama. Yeye si mjinga sana kama Mchungaji Slaa. Si unaona adha inayompata kwa kupenda wanawake. Du aibu. Haya ukimwi usiwapate tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…