Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero


Duuh hichi kimeo
 
jamaa alikuwa anafosi fosi sana, masomo ya uvuvi ni kama biolojia, yanahitaji uelewa wa hali ya juu sana, ila naona mwishowe aliapa mahakamani, ila bado kuna la kujibu hapa, huyo aliyempa cheti chake na huyo aliyechukua cheti kama wakifata sheria hapo ni makosa, labda kama hakuna makosa hayo, itabidi wanaojua sheria watueleze, adhabu yake ni nini
 
Simsapot Makonda lakini pia Gwajima nae ni Hovyo
 
Hatimaye CV kamili ya Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam, Tanzania imepatikana. Na inalingana kabisa na yale yote yanayosemwa ktk mitandao. Labda aje mwenyewe Regional Commissioner wa DSM akanushe.
 
mond futeni hizi nyuzi za kipuuzi, sheria ya mitandao ifanye kazi maana tumechoka na hzi ngonjera, mutu anakaria kukopi tu
hakuna kufuta au na wewe ndo wale wale ,mama ndalichako tumbua huyo mtu
 
Usitusi wenzio huku wewe unapitia sokoni kununua mboga. Waweza rnda kula sima kavu kwani soko zima watafunika mboga zao.
Atapitia wapi na mkuu ndo anasaka vyeti hewa alivyoacha mtangulizi wake kama alivyotuambia pale mlimani siku ile. Je, bado makonda anangojea kuulizwa; Nikutumbue au nisikutumbue??? Ka ni miye najitumbua mwenyewe tu.
 

cc: tetty
 

Mbona anaonekana amepitia Vyuo vingi lakini anavyofanya hafanani navyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…