Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mwalimu wangu alikuwa ananifundisha: "Pema usijapo Pema,Ukipema Si pema tena"



 
Kama namuona ndalichako ameshika wembe na jopo lake la wakaguzi af wanasita maana jipu lipo usoni kwa mkuru sasa ni kasheshe tupu af mashabiki wamasema tumbuaaaa
 
Mzumbe chuo moro hajawahi soma? Kama alisoma basi hii CV ci ya kwl haijitoshelezi...wekeni CV isionamashaka...Pili kukaa kimya kwa MTU akisemwa ni ishara ya kutubu Mbele ya Mungu na mwanadamu...Mwacheni Apumzike jamani....
 
Kusoma MUCCoBS hilo ni kweli najua alisoma tena hadi akawa amewania nafasi ya kuwa waziri mkuu katika serikali yao ya wanafunzi!
 
Kumbe jamaa ni mtaalamu wa uvuvi
 
 
Team Daudi À Bashite kimyaaaa.. Ha ha ha à naona bado wanachungulia madirishani pale lumumba.. Maana Nje hakuendeki

CC ": Lizabon
 
Makonda muombe msamaha gwajima.si MTU poa huyo.muulize mbasha na pengo.
 
Hizi teuzi zinafanyikaje? Hakuna vetting? Hakuna ukaguzi wa vyeti? Hakuna ufuatiliaji wa historia ya mtu kabla ya uteuzi?

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app

Niliwahi kuambiwa kuwa teuzi za kisiasa huhitaji zaidi watu wanaoweza kuongea sana hata bila kutumia akili, uhusiano wa karibu (undugu, urafiki na mengine yanayofanana na hayo) na wanaoweza kueneza fitina dhidi ya mahasimu. Hata hivyo, sijawahi kufanya uchunguzi/utafiti kuthibitisha hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…