Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Daudi anadai kuna watu walitaka kumdhuru...aliwaona watu 12 wakiwa wamevalia kanzu lakini kutokana na nguvu alizo nazo wameshindwa. Hapo nadhani alikua anaombewa zaidi ili hao waalifu washindwe
 
Hii inaitwa "hujuma rejea" dah! naona Daud keshaukalia
 
Noted
 
Hiki kiapo cha mahakamani kitenguliwe, ili hoja ya msingi ya kutumia cheti cha mtu ithibitike kwanza. Arudie tu majina yake kabla ya kiapo. Patamu hapooo
Kuna usemi ukiona kobe kinamisha kichwa ......... Usijekushangaa yatakayojiri siku za usoni. Yeye amesema ni mungu na baba yake amesema hakuna wa kumhoji na yeye ndiye msemaji wa mwisho. Sasa yetu masikio
 
kumbe kazaliwa kijijini. hawa ndio wanatupa ulaji krismasi kuwasafirisha mikoani. ila mwaka jana sumatra mnlinifanyia mbaya nikalipa mahela kibao. mwaka huu lazima nirevenge
 
Pamoja na mafanikio aliyonayo
Mhe RC Shule haimpendi japo Shule sio kipimo cha uelewa wala uwezo wa kumudu maisha wala uongozi
Mimi nina bachelor degree ila mafanikio ya Makonda bado sijui ntayafikia lini japo nina ndoto za kufanikiwa.

Hongera Mhe Makonda kwanza historia yako inaonesha sio mtu wa kukubali kushindwa na unauthubutu, kwa historia yako ningekua mimi ningeshaacha shule kabla ya kuingia form 1.
 
Safi sana....kwa hiyo kumbe ilitakiwa awe mvuvi........Ona sasa anavoharibu nchi kwa kudharirisha watz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…