Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
 
gwajima alituonya kuhusu bashite,nadhan chadema wampuuze waendelee na ratiba zao, hamna mtu mule na shahidi ni mbunge wake na kada wake wa chama bishop gwajima
 
Ukimuona mbwa pori anavyojiinua miguu ya mbele ni kutaka kuonyesha kuwa yeye ni mkubwa kuliko alivyo, na ndio tabia za bashite, anajiona mkubwa kuliko hata Mawaziri wote! anaemlea atakuja kujutia hili!
 
Nilicheka Bashite alilia kwa sauti huku kashika microphone mkononi. Who does that? 🀣
 
Kwa lile domo lake lilivyo zito kilo 50 mwamba kama yeye ni vigumu kutoboa class, maana wakati wenzake wanasoma a, e, i, o, u yeye alikuwa bize kutafuna mapera kukuza mviringo wa lips, cc: Nigrastratatract nerve
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…