Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Hivi hili Gazazeti liko wapi? Maana sijaliona kitambo kirefu!
 
Hii kitu ni ya zamani lakini it's worth reading.Duh,it's very detailed,nilikuwa sijaiona hii,ilinipita!Kama hii kitu ni kweli ,Makonda ana kesi ya kujibu mahakamani kwa kugushi vyeti na
sioni sababu pia kwa nini Makonda ni Mkuu wa Mkoa mpaka leo.No wonder anajitahidi sana kuziba pengo la lack of academic excellency kwa kujitahidi sana kuwa mbunifu.This is typical of people of his kind.
 
Hata taifa stars mpaka sasa ina point 0
Unamtumaje Bashite zero brain eti kusapoti timu ya taifa? Bashite anatakiwa akae kimya tu hata kuongea asiongee, Mirembe ndo sehemu inayomfaa. Ubaya hata Jiwe aka Magumashi ni zero brain, elimu yake yenyewe ya kuunga unga. Ben Saanane alipojaribu kumwambia kuwa PhD yake ni ya mashaka makubwa akaamua kumteka na kumficha kusikojulikan mpaka leo hii. Zero brains at work, Magumashi + Bashite. Stori ya kiziwi na kipofu wanaongozana njia.
 
Huyu dogo, Dini( Divinity) alipata 0 nahisi hata michezo alipata 0
 
Hahahha siasa bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…