Gwajima ni muongo!! Hakunaga cheti cha division O!! Na muongo baba yake ni lucifa( according to the Bible)!! Kama siyo muongo aweke vyeti hapa tuvione!!
Wadau,
Sote wapenda haki tunaomba jeshi la polisi limkamate Gwajiam mara moja na atueleze vyeti anavyodai ni halisi vya RC Makonda kavipataje? maana vyeti vya mtu vinatolewa na NACTE na kupelekwa shuleni mtu alikosoma na baadae anakabidhiwa mhusika mwenyewe. Leo Gwajima anadai ana vyeti halisi vya Makonda kavipataje? Lazima akamatwe na ahojiwe aeleze alipewa na nani, huwezi kumiliki cheti cha mtu original bila ridhaa yake. Kama ni NECTA au Headmaster alimpa hao lazima wachukuliwe hatua za kisheria kwa kutoa vyeti vya mtu bila ruhusa yake.kuwa na vyeti vya mtu kinyume cha ridhaa yake ni wizi na hivyo sheria lazima ichukue mkondo wake. wote tukatae tabia hizi zinazokiuta haki ya mtu kwa aina yoyote ile. Mamlaka husika ziingilie kati suala hili haraka.
Hiii xafi xaaanaaa. maaana kunawalimu wengine kwa kufuata kiherehere cha siasa wanaweza kutoa vyeti vya mtu na kuvitangaza kisiasa kumbe hawajui kufanya hivyo ni kinyume na sheria.
Naomba vyombo vya dola vimbane aeleze alipata wapi vyeti hivyo, na wahusika wachukuliwe hatua kali kama fundishoo.
Maana vyeti sio downloadable kwenye mtandao, kwahiyo akina gwajima wabanwe kabisa waseme nani kawapa. maana hata kama ni divition 0 huwa ni siri ya mwenye cheti na ofice husikaa.
Ukitafuta watu maarufu zaid tz kwa sasa bila shaka Rc makonda kawapiku watu wenye majina makubwa tz mfano lowasa,nape,kinana, ,kikwete,na wengineo makonda kawa maarufu si mjin tu hats vijijin jina makonda linatajwa kila kona,
Kitu pekee ambacho had sasa sijajua na huweka maswali mengi ndani yangu ni kuwa vmaarufu wa makonda umetokana na
1.,utendaji wake wa kaz?
2. Kashfa ya vyet?
Ikiwa in utendaji wa wpo weng wanafanya kaz
Kubwa na kwa bidii mfano wazr mkuu lakin hawajawa maarufu hivyo, ikiwa in kashfa ya vyeti wapo waliokapata kashfa kama hzo lakn hawkupat umaarf huo
He vnafikir in kitu gan kimemfanya makonda kuwa maarufu hivyo? naomba msaada wako.
Wakimkamata atawa eleza tu udhani kutakua na ugumu wowote? Hakuna shida hapo@ shida ni Bashite kuthibitisha kuwa hakufoji vyeti hapo ndipo kuna shida kubwa!!!Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip inayosambaa kwa kasi mitandaoni.
Askofu Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kua ndg. Makonda alitumia vyeti visivyo vyake.
Katika clip hiyo mchungaji Gwajima amesema ana vyeti vinavyotoa ushahidi kua Makonda alitumia vyeti vya mtu mwingine.
Swali: Je, Rais atamwacha Makonda na kulifumbia macho hilo suala?
=======
PAUL MAKONDA:
1. Alizaliwa tar.15/02/1981 katika kijiji cha Koromije, wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza.
2. Majina yake halisi ni Daudi Albert Bashite
3. Alianza darasa la kwanza mwaka 1988 katika shule ya msingi Koromije akitumia majina ya Daudi Albert Bashite. Mwaka 1991 alifeli darasa la 4, akarudia.
4. Mwaka 1992 alifeli tena na hivyo akahamishiwa Mwanza mjini, ili aweze kusoma na kupata masomo ya jioni (tuition).
5. Mwaka 1996 alihitimu darasa la 7 lakini hakuchaguliwa kuendelea na elimu ya sekondari katika shule ya serikali.
6. Mwaka 1997 akajiunga na kidato cha kwanza shule ya sekondari ya Pamba.
7. Mwaka 2000 akahitimu kidato cha 4 na kupata daraja sifuri (division zero).
8. Mwaka 2001 akatumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge (chenye div.3 ya points 25) kujiunga na chuo cha uvuvi Nyegezi (Nyegezi Fisheries Training Institute) kwa masomo ya Certificate akahitimu mwaka 2002.
9. Mwaka huohuo 2002 akitumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge, alijiunga na Chuo cha uvuvi Mbegani Bagamoyo kwa masomo ya Diploma ya uvuvi (ORDINARY DIPLOMA IN MASTER FISHERMAN, NTA LEV.6), na kuhitimu mwaka 2005.
10. Mwaka 2003 alikutana na Ndg. Benjamin Sitta (mtoto wa Marehemu Samwel Sitta, ambaye ni Meya wa Kinondoni kwa sasa). Wakawa marafiki.
11. Mwaka 2005 baada ya kuhitimu Stashahada yake ya uvuvi, aliomba admission Chuo cha Kilimo Sokoine kusoma shahada lakini akakosa nafasi.
12. Baada ya kukosa nafasi alienda kuishi nyumbani kwa Marehemu Sitta akiwa kama rafiki wa Ben (mtoto wa Sitta). Kwakuwa alitoka familia duni, Sitta aliahidi kumsomesha elimu ya juu.
13. Mwaka 2006, alipata udahili Chuo cha ushirika na biashara Moshi (wakati huo kikiwa chuo kikuu kishiriki cha SUA), kwa kutumia vyeti vyake vya certificate (ya Nyegezi) na diploma (ya Mbegani).
14. Alidahiliwa kwa course ya BA in Cooperate Management & Accounting. Mwaka 2007 alimaliza first year lakini akashindwa kuendelea na 2nd year baada ya kupata Suplementary 6 kati ya Course 8 alizokuwa akisoma (akawa discontinued).
15. Mwaka huohuo 2007 akaomba Admission upya. Akamaliza first year akiwa na carries 3 ambazo alienda nazo 2nd year. Mwaka 2008 akiwa 2nd year akapata supplementary 4 kati ya course 8 alizokua akisoma. Akawa na mzigo wa carry over na supplementary. Akaamua kuacha chuo.
16. Mwaka 2008 akaenda kujaribu kuomba udahili chuo kikuu SUA kwa mara nyingine lakini akakosa.
17. Mwaka 2009 akarudi tena MUCcoBS kwa udahili mpya. Akaachana na CMA akachagua Community & Economic Development (CED).
18. Mwaka 20012 akahitimu shahada ya kwanza ya Community & Economic Development kwa jina la Paul C Makonda badala ya majina yake halisi ya Daudi Albert Bashite
19. Jina Makonda analitumia baada ya kula kiapo mahakamani kubadili jina. Cheti cha Form four kinasomeka Paul C Muyenge lakini vyeti vya elimu ya juu vinasomeka Paul C Makonda baada ya kuapa mahakamani.
20. Ndugu Daudi Albert Bashite ameoa (tangu mwaka 2009) lakini hajabahatika kupata mtoto. Na ndiye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa.
BashiteThere is no doubt- Ni kijana sana, Ni mchapakazi sana. Ni jasiri sana. Ni mpambanaji sana. Ni mtu aliyetoka from Zero to Hero- It is not a joke! Mengine mtaongeza.
Ukitafuta watu maarufu zaid tz kwa sasa bila shaka Rc makonda kawapiku watu wenye majina makubwa tz mfano lowasa,nape,kinana, ,kikwete,na wengineo makonda kawa maarufu si mjin tu hats vijijin jina makonda linatajwa kila kona,
Kitu pekee ambacho had sasa sijajua na huweka maswali mengi ndani yangu ni kuwa vmaarufu wa makonda umetokana na
1.,utendaji wake wa kaz?
2. Kashfa ya vyet?
Ikiwa in utendaji wa wpo weng wanafanya kaz
Kubwa na kwa bidii mfano wazr mkuu lakin hawajawa maarufu hivyo, ikiwa in kashfa ya vyeti wapo waliokapata kashfa kama hzo lakn hawkupat umaarf huo
He vnafikir in kitu gan kimemfanya makonda kuwa maarufu hivyo? naomba msaada wako.
Yes he is! Asante kwa kukubaliana nami maana hujapinga hata moja! Ukweli mchungu!Bashite
Siku hizi hata waliofanikiwa kwa wizi wanaitwa mashujaa!hahahaaaaYes he is! Asante kwa kukubaliana nami maana hujapinga hata moja! Ukweli mchungu!
Nikupe tu pole na kukuomba badili biashara kieleweke. Utawala huu mwingine haujawahi kutokea!Siku hizi hata waliofanikiwa kwa wizi wanaitwa mashujaa!hahahaaaa
Ndio hapo mnapokosea: kudhani hisia/hasira zenu ndizo alizonazo aliyemteua.
In fact, yeyote anayemjua Magu atakwambia kuwa moja ya "allergies" zake ni "kufundishwa kazi." Huyu ni muumini wa "my way or no way." Sasa hili shinikizo mnalompa, ambalo kimsingi hamjaweza kumbana kisheria ailishughulikie, linamweka katika mazingira ya "your way or no way." It's catch 22: akimwajibisha ataonekana dhaifu aliyeshinikizwa na wananchi, and that's not the Magu I know. Akimwacha, well, mtaendelea na shinikizo lenu (lakini experience shows walalamishi wa Kitanzania ni wepesi sana kuishiwa pumzi).
Uliuliza kuhusu "kumtibua mkulu" well ni kama alivyofanya Kitwanga. Mkulu hakuwa tayari kumtosa rafiki yake lakini rafiki yake kwa kuendekeza pombe "akaishia kumtibua" mkulu.
Ishu ya Lugumu ikafa kifo cha asili, na kama wafuatilia vema siasa za Tz, Kitwanga is at the moment one of the most powerful people katika circles za JPM (don't take my word, chunguza).
Hivyo ndio siasa zetu zinavyofanya kazi. Zimetawaliwa na ubinafsi unaorahisishwa na Katiba fyongo isiyowezesha matakwa ya raia kutimizwa "kwa nguvu."