Mchungaji ananitaka, nifanyeje?

Mchungaji ananitaka, nifanyeje?

Rene1

Member
Joined
May 25, 2019
Posts
47
Reaction score
43
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.

Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.

Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
 
Sikiliza dada,
wewe huna mume,ungekua na mume mngefunga ndoa,huyo uliezaa nae ni bwana tu mmezini akakuzalisha,kwa hiyo hata pasta akikutaka sawa tu,kwa kuwa si mke wa mtu,je jamaa akikataa kukuoa?.
Wajuzi waje wanikosoe kwa ukweli niliokwambia.
 
tatizo lenu nyie wakina mama sijui wadada mnapenda kuwaingiza watu majaribu sana, wewe unenda kuomba milioni mbili usawa huu ulitegemea nini? mimi ninavyoju muumini ndie anampa hela au chochote mchungaji wake au kiongozi wake wa dini na si kiongozi wako akupe pesa!
achana nae kama ni kweli hela sio ishu utapata tu anza kidogo kidogo utapata zakwako zisizo na mambo kama hayo ya ngono nk.
lakini pia jitahidi kutafuta ndoa kwanza zaidi ya mtaji, ila usimwambie mume wako jambo hili au mtu yoyote alie karibu na mume wako au mchungaji wako.
 
Kukutaka tu huku akijua fika wewe ni mke wa mtu kunamuondolea sifa ya kuwa mtumishi wa Mungu. So, kama sababu pekee ya kumnyima ni hiyo, imeshakosa mantiki. Halafu, kwa usawa huu wa Dr mwanaume akupe bure tu hizo MM mbili? Ingawa mpaka hapo nimeshaanza kumuonea buruma mumeo
 
tatizo lenu nyie wakina mama sijui wadada mnapenda kuwaingiza watu majaribu sana, wewe unenda kuomba milioni mbili usawa huu ulitegemea nini? mimi ninavyoju muumini ndie anampa hela au chochote mchungaji wake au kiongozi wake wa dini na si kiongozi wako akupe pesa!
achana nae kama ni kweli hela sio ishu utapata tu anza kidogo kidogo utapata zakwako zisizo na mambo kama hayo ya ngono nk.
lakini pia jitahidi kutafuta ndoa kwanza zaidi ya mtaji, ila usimwambie mume wako jambo hili au mtu yoyote alie karibu na mume wako au mchungaji wako.

Sawa nimekuelewa ila mm nilimwomba anikopeshe tu kama anayo nikaona amekubali sasa ndio yakaanza na mengien
 
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili ni na Mume ila pia si Wandoa japo tunampango wakufunga ndoa.
Nina rafiki yngu ambae ni pasta nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kaniakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi..., yani nimechoka.
Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki.Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.

Kwasababu ni mtumishi wa Mungu ndo hapewi. Angekua sio!???
 
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili ni na Mume ila pia si Wandoa japo tunampango wakufunga ndoa.
Nina rafiki yngu ambae ni pasta nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kaniakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi..., yani nimechoka.
Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki.Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
Mwambie ukweli, usimzungushe.
 
Wewe huna mume, una mwanaume.
 
Back
Top Bottom