Mchungaji alonga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchungaji alonga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchonga, Jan 7, 2011.

 1. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hawa wachungaji na ma padiri ndio walioanzisha chokochoko mpaka yakatokea mauaji ya kimbari huko Rwanda, sasa wanaleta chokochoko hapa Tanzania.
   
 3. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  na ndio watu kama hawa walishirikiana na Wauwaji wa kiserbia na katili mulosovik kuua halaiki ya watu huko Srebzenika na Bosnia Herzogovina miaka ya 90!!!!
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kuna mtu kajamba humu ndani. Anahaha kila sehemu na kujamba, fuuuuu.........
   
 5. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Na Somalia viongozi wa dini hasa mashekh wamefanya nchi hiyo isitawalike kwa zaidi ya miaka 20 sasa.
   
 6. n

  notradamme JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,015
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  SIONI UPAKO machoni mwa huyu MCHUNGAJI... sijajua anachunga nini lakini nina hakika hachungi kondoo wa bwana. labda anamchunga yule THE ''BEAST'' aliyetabiriwa kwenye maandiko matakatifu.
  after all, hakuna mwenye mamlaka ya kuchukua uhai wa muumini wa kweli isipokuwa ni MUNGU pekee. ukiona mtu anaogopa roho yake kuchukuliwa na mwanadamu!!! basi hana imani kwa mungu wake... vipi wanapenda kwenda mbinguni halafu wanaogopa kifo???? YESU alikubali yote NA AKAWA TAYARI ILI KULITIMIZA NENO. na mwisho akawaombea mungu awasamehe kwani walikuwa hawajui walitendalo.
  hawa wanafiki walambao miguu wanasiasa wanataka kuiingiza hii nchi katika umwagaji damu.... ingekuwa tuna RAISI DICTATOR,,, Watu wa aina hii ni kuwapotezaaaaaaaaaaaaaaaaa. na yeyote anayemuuunga mkono pumbavu kama huyu naye atakuwa mpumbavu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Nicazius

  Nicazius Senior Member

  #7
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 143
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  WaJF, kabla ya kuanza kumurushia makombora Pastor Munishi, kwanza tujue ni kwanini anaipinga CCM kiasi hicho? Kwani nini alikimbilia Kenya na kuomba uraia wa Kenya? What is the motive behind yeye kuwindwa na CCM? alifanya nini kibaya kwa CCM? kwani nini CCM wamtumie yeye Majasusi? kuna maswali mengi sana ya kujiuliza kabla ya kumuhukumu.

  Mimi binafsi nakubaliana na mengi anayosema Pastor Munishi, ni kweli CCM wamezeeka, majambazi, wauaji, waporaji wa haki, kila neno baya na jambo baya ndani ya nchi hii lina mkono wa CCM, bila CCM ni kweli Tanzania tungekuwa mbali sana kimaendeleo, na wala siyo hapa tulipo.
   
 8. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa anaongea full points, kama utamsikiliza kwa makini
   
Loading...