Mchungaji akifanya maombi guest uchi..

Mchungaji akifanya maombi guest uchi..

Gillah A Maggh

Senior Member
Joined
Nov 4, 2013
Posts
132
Reaction score
16
ABABWA AKIWASHUSHIA MAOMBI MAZITO WADADA WAWILI GUEST HOUSE HUKU (WADADA) WAKIWA UCHI
- Ni kiongozi wa Kanisa la Maximum Derivance Church lililopo Kinondoni Studio
- Anaitwa John Paul Simon Rubanguka
- Eti anatumia Luka 4:18
 
Attachments

  • 1396718055081.jpg
    1396718055081.jpg
    41.5 KB · Views: 1,187
  • 1396718106466.jpg
    1396718106466.jpg
    38.5 KB · Views: 1,016
  • 1396718145806.jpg
    1396718145806.jpg
    48.5 KB · Views: 951
  • 1396718204903.jpg
    1396718204903.jpg
    37.3 KB · Views: 906
  • 1396718233092.jpg
    1396718233092.jpg
    36.6 KB · Views: 936
Rubangura huyu ni mtu wa wapi huyu?
 
Acheni hizo. Huu ni mtego tu uliwekwa ili kuua huduma na kutawanyisha kondoo. Huu ni mpango wa shetani kwani ameona kanisa ni tishio kwa ufalme wake. Mtu Wa Mungu arudi atubu na aendelee na kazi ya Bwana kwani Mungu angehesabu makosa yetu hakuna ambaye angesimama. Waumini wake wamshike mkono mchungaji wao mkono na kumwaibisha shetani. Amen.
 
Mmmmh
Huyo kondoo wote wamemkimbia
 
Ni Roho wa Mungu anayekushuhudia kusema hayo ama ni mawazo yako?????
 
Hii habari inarudiwa Mara ngapi? Kuna Uzi mwingine similar humu jamvini,lets discuss other matters
 
"Basi mtu akiwaambieni, 'Tazama, Kristo yupo hapa', au 'yupo pale', msimsadiki. Maana watatokea kina Kristo wa uongo na manabii wa uongo, watafanya ishara na maajabu, kwaajili ya kuwapotosha wateule wa Mungu kama ikiwezekana.(mark13:21-22)
 
Back
Top Bottom